Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

Wenzako wameshirikiana foreigner Muzungu kukamata Mali yetu halafu uko hapa kutaka barabara ijengwe? Ijengwe kwa Hela gani kama mnashrikiana na Muzungu kutusaliti?

Very selfish people!
Hivi huko CCM huwa mnapewa nini. Mbona wengi akili zenu zinakuwa za ovyo ovyo ?
 
Hivi ile barabara ya kutoka Mbezi Beach Samaki Samaki pale mpaka Morogoro road kupitia Mabwepande ishawekewa lami?

Barabara kama zile za kuchepuka kutoka main arteries zinasaidia sana kupunguza foleni. Kwa mfano, kama mtu anatoka Kibaha au Morogoro, anaenda Mbezi Beach, barabara kama ile inapunguza haja ya kupitia Ubungo. Mtu anachepuka kabla ya kufika Ubungi anapita Mabwepande mpaka anaingia Mbezi Beach.

Nilipita miaka michache nyuma, ila ilikuwa hauna lami halafu ina mashimo sana.
 
Haina lami ni shimo tu
Hamjaelewana..sababu kakosea kuuliza kwa jinsi alivyochanganya majina..

Bila shaka anaulizia barabara inayotoka mbezi beach (samaki wabichi na siyo samaki samaki)...kupitia goba kwenda mbezi mwisho (morogoro road) ambayo ina lami mwanzo mwisho..
 
Hivi ile barabara ya kutoka Mbezi Beach Samaki Samaki pale mpaka Morogoro road kupitia Mabwepande ishawekewa lami?

Barabara kama zile za kuchepuka kutoka main arteries zinasaidia sana kupunguza foleni. Kwa mfano, kama mtu anatoka Kibaha au Morogoro, anaenda Mbezi Beach, barabara kama ile inapunguza haja ya kupitia Ubungo. Mtu anachepuka kabla ya kufika Ubungi anapita Mabwepande mpaka anaingia Mbezi Beach.

Nilipita miaka michache nyuma, ila ilikuwa hauna lami halafu ina mashimo sana.
Mkuu iliwekwa lami
Nilipita hiyo njia mwaka Jana April nikitokea mbezi Juu nikatokea mbeziLuis
 
Ipo Tegeta Goba Kimara na Mbezi Mwisho
Tangibovu Goba Kimara na Mbezi Mwisho
Makongo Goba Kimara na Mbezi
Hivi ile barabara ya kutoka Mbezi Beach Samaki Samaki pale mpaka Morogoro road kupitia Mabwepande ishawekewa lami?

Barabara kama zile za kuchepuka kutoka main arteries zinasaidia sana kupunguza foleni. Kwa mfano, kama mtu anatoka Kibaha au Morogoro, anaenda Mbezi Beach, barabara kama ile inapunguza haja ya kupitia Ubungo. Mtu anachepuka kabla ya kufika Ubungi anapita Mabwepande mpaka anaingia Mbezi Beach.

Nilipita miaka michache nyuma, ila ilikuwa hauna lami halafu ina mashimo sana.
 
Nadhani siyo sahihi kila mtu amiliki gari.
Lakini pia inawezakuwa sahihi.
Kuna familia zina uwezo, baba ana gari lake, mama gari lake, watoto wawili wakubwa kila mmoja ana gari lake. House girl mwenyewe yuko katika mpango wa kununuliwa vitz ya kuendea gengeni.

Kero inakuja hapa, wanataka kwenda kibaha kwa babu yao, badala waingie ndani ya gari la baba yao kwakuwa ni kubwa na linayo nafasi ya kutosha. Kila mtu anataka aende na gari lake, (foleni inatengenezwa hapa).
Baba kaweka gari barabarani
Mama pia
Kaka pia
Dada mkubwa pia kaingia na gari barabarani.
Familia moja tu imeweka magari karibia 5-6 bila sababu za msingi.
Wakati wote hao wangepanda gari ya mzee na kufika kibaha kwa babu yao.
Narudi
Point sana.
 
Dar Es Salaam ni mkoa mdogo sana kuliko yote Tanzania bara lakini unaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi.

Ianzishwe kampeni ya kuhamasisha watu kurudi mikoani ili kupunguza adha kama hizi za foleni, magonjwa na mafuriko..
Akili fupi hii bro
 
Back
Top Bottom