Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

Foleni kuanzia Mlandizi hadi Ubungo

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,359
Wakuu

kwa pamoja tujadiliane nini haswa kifanyike kupunguza foleni au msongamano mkubwa was magari kuanzia ubungo hadi mlandizi ..

Barabara hi inaongoza kwa msongamano wa magari kupita kiasi katika nchi yetu

Je mamlaka husika zilaumiwe kwa kushindwa kupunguza msongamano huu.

Muda huu foleni imeanzia hapa kibaha na tunaambiwa folen imefika hadi ubungo barabara imefungamana magari wengine imetulazimu tuzime magari ili kwenda sawa na uchumi wa awamu hii

Inasikitisha sana foleni imejaa hadi barabara za mitaani.
 
imetulazimu tuzime magari ili kwenda sawa na uchumi wa awamu hii."

hapo ndipo point ilipo
 
Huoni barabara ilishaanza kuongezwa upana kuanzia Kimala hadi Kibaha kwa phase 1!?

Acheni/punguzeni lawama za kike kike enyi walalamishi na wapinga kila kitu.
 
Nadhani siyo sahihi kila mtu amiliki gari.
Lakini pia inawezakuwa sahihi.
Kuna familia zina uwezo, baba ana gari lake, mama gari lake, watoto wawili wakubwa kila mmoja ana gari lake. House girl mwenyewe yuko katika mpango wa kununuliwa vitz ya kuendea gengeni.

Kero inakuja hapa, wanataka kwenda kibaha kwa babu yao, badala waingie ndani ya gari la baba yao kwakuwa ni kubwa na linayo nafasi ya kutosha. Kila mtu anataka aende na gari lake, (foleni inatengenezwa hapa).
Baba kaweka gari barabarani
Mama pia
Kaka pia
Dada mkubwa pia kaingia na gari barabarani.
Familia moja tu imeweka magari karibia 5-6 bila sababu za msingi.
Wakati wote hao wangepanda gari ya mzee na kufika kibaha kwa babu yao.
Narudi
 
Ya kutoka juu haijafika Ubungo inakomea hapo Mbezi Msuguli mziki upo kutoka Kimara kupandisha huko kama ni kwenye private car au public lazima mapambio mtayaimba hasa jumamosi kama leo wakazi wa huko tunaiita “Jumamosi ya Malori”

Ndo nipo Bucha hapa foleni imeganda nashuka Mwendokasi Korogwe nikamate Bajaj target yangu nifike Mbezi.
 
Dar Es Salaam ni mkoa mdogo sana kuliko yote Tanzania bara lakini unaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi.

Ianzishwe kampeni ya kuhamasisha watu kurudi mikoani ili kupunguza adha kama hizi za foleni, magonjwa na mafuriko..
 
Hili tatizo lipo na lilishatafutiwa uvumbuzi..tumeshatulia watu wanapanua manjia Huko

Stand inaanguka hapo mbezi mwisho...Nyingine inajengwa kule bunju So foleni hiyo ni ya Muda mfupi tu

Ng'ombe tumemla mzima,mkia hautushindi
 
Tatizo la foleni lililokuwa ubungo linahamishiwa mbezi mwisho kwenye makutano ya Barabara toka kinyerezi na toka goba zinapokutana na barabara ya Morogoro pia makutano mengine mbele kwa Yusufu.
 
Dar Es Salaam ni mkoa mdogo sana kuliko yote Tanzania bara lakini unaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi.

Ianzishwe kampeni ya kuhamasisha watu kurudi mikoani ili kupunguza adha kama hizi za foleni, magonjwa na mafuriko..
dar es salaam na idadi yake yotr ya watu haipo hata kwenye top 20 ya miji mikubwa yenye watu wengi duniani, sasa ni wazi kuna namna ya kufanya kuboresha maisha ya wakazi wake. nafikiri changamoto zinazojitokeza ndio fursa ya kuzinduka na kuamka kujua nini mji unahitaji.
 
Nawaza wale wagonjwa wanaotegemea barabara hii

Wenzako wameshirikiana foreigner Muzungu kukamata Mali yetu halafu uko hapa kutaka barabara ijengwe? Ijengwe kwa Hela gani kama mnashrikiana na Muzungu kutusaliti?

Very selfish people!
 
Wenzako wameshirikiana foreigner Muzungu kukamata Mali yetu halafu uko hapa kutaka barabara ijengwe? Ijengwe kwa Hela gani kama mnashrikiana na Muzungu kutusaliti?

Very selfish people!
Dona kautry mlipeni mzee hela zake hilo deni liko wazi
Ni mlipokurupuka kwenda kuleta Madege na kutumia fedha nyiingi ambazo zingefikisha hizo njia sita hadi Moro.
 
Dona kautry mlipeni mzee hela zake hilo deni liko wazi
Ni mlipokurupuka kwenda kuleta Madege na kutumia fedha nyiingi ambazo zingefikisha hizo njia sita hadi Moro.

Ushalibadilisha Nepi?
 
Wenzako wameshirikiana foreigner Muzungu kukamata Mali yetu halafu uko hapa kutaka barabara ijengwe? Ijengwe kwa Hela gani kama mnashrikiana na Muzungu kutusaliti?

Very selfish people!
Falcon anaongea point, wewe unaongea upupu. Kwani Falcon anamjua Steyn? Kushabikia sisiem kusiwe pazia ya kutoona mbele. Wake up.
Falcon kijana wa Mvita
 
Back
Top Bottom