Foleni Barabara ya Ali Hassan mwinyi imekuwa kero

kisiki kizito

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
676
858
Habari jf
Niko hapa kituo cha polisi osterbay nikielekea city centre Ila cha ajabu ni kwamba magari ayasogea kwa zaidi YA lisaa Sasa na pia watu wengi wanazidi kuchelewa maofisini na Wengne kwenye ujasiriamali na Wengne wanaosafiri kwenda ng'ambo YA bahari ili Tatizo ni sugu Sasa kuna haja YA serikali kutafuta namna YA kuondoa ili tatizo ususani nyakati za asubuhi na Jion Kwan tunapoteza mapato mengi sanaa
 
Back
Top Bottom