TUTUO JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,251 Reaction score 2,035 May 26, 2017 #41 I like that shit yani kama gari unakanyaga cruch unatia kitu chamber unakanyaga tena ili umbadili mtu jina hahahaha
I like that shit yani kama gari unakanyaga cruch unatia kitu chamber unakanyaga tena ili umbadili mtu jina hahahaha
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 May 26, 2017 #42 orangutan said: Vipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers. Click to expand... Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muvi
orangutan said: Vipi kuhusu Mac-10 na Mac-11. Huwa naona nazo zinatema moto si mchezo. Afu zinapendwa sana na drug dealers. Click to expand... Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muvi
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,313 May 26, 2017 #43 Hiyo Uzi juzi nimemuona askari magereza anayo
orangutan JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 756 Reaction score 775 May 26, 2017 #44 Mr. MTUI said: Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muvi Click to expand... Cheki documentaries za drug cartels wa Mexico na Colombia ndo utaelewa ninachozungumza.
Mr. MTUI said: Umewaona wapi hao drug dealers mzee au muvi Click to expand... Cheki documentaries za drug cartels wa Mexico na Colombia ndo utaelewa ninachozungumza.
Shareef Conscious JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 522 Reaction score 344 May 26, 2017 #45 Nliulizwa silaha inatengenezwa kwa sababu gani?.. Nikiwa Bdo najifikiria, Mhusika akanijibu "Silaha zinaunDwa kwa Ajili ya kuua watu (BinaDamu)"..,
Nliulizwa silaha inatengenezwa kwa sababu gani?.. Nikiwa Bdo najifikiria, Mhusika akanijibu "Silaha zinaunDwa kwa Ajili ya kuua watu (BinaDamu)"..,
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,558 Reaction score 7,168 May 26, 2017 #46 vicdala55 said: Lengo la huu mjadala ni lipi hasa? Ndo maana mnatekwa! Click to expand... Kujua sio ujinga Mkuu ,wacha tujifunze..
vicdala55 said: Lengo la huu mjadala ni lipi hasa? Ndo maana mnatekwa! Click to expand... Kujua sio ujinga Mkuu ,wacha tujifunze..
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,887 Reaction score 7,033 May 27, 2017 #47 trust112 said: Zipo nyingi sana kwenye kambi za majeshi yetu zilitekwa kutoka Uganda baada ya kumpiga IDD amin 1977 Click to expand... Kwani tuliwahi kupigana na Idd Amin 1977?
trust112 said: Zipo nyingi sana kwenye kambi za majeshi yetu zilitekwa kutoka Uganda baada ya kumpiga IDD amin 1977 Click to expand... Kwani tuliwahi kupigana na Idd Amin 1977?
F fokonola bokoyoka JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 965 Reaction score 640 May 27, 2017 #48 Z Saguda47 said: yeah!!! makomandoo wa Jwtz pia wanazitumia hizo UZI toka israel Click to expand... Zinatumika sana tu hata hata kwa askari wengine, not better than smg
Z Saguda47 said: yeah!!! makomandoo wa Jwtz pia wanazitumia hizo UZI toka israel Click to expand... Zinatumika sana tu hata hata kwa askari wengine, not better than smg