Hahahaha hapa ndo walimu mnaponiachaga hoiriba ya mikopo yenu inacheaza kwenye %ngapi?
Unatumia benki ipi kwa sasa mkuuAaah hawa jamaa kwenye online transaction sina hamu nao kabisa wamenipiga sana
sawa mkurugenzi acha walimu tuulize ribaHahahaha hapa ndo walimu mnaponiachaga hoi
Acc zetu zote zinaweza kupokea na kutuma pesa isipokua za Fixed deposit. Na vile vile utaunganishwa na mfumo wa digital banking ambao utaweza kufanya haya yote hata ukiwa nyumbani.Mna account itakayoniwezesha
1.Kutuma pesa popote duniani
2.Kupokea pesa kutoka popote duniani
Na usumbufu ukoje maana kuna benki makubwa wameajiri wafanyakazi wasiojua majukumu yao na pia digital world hawaijui kabisa mfano CRDB ni wasumbufu mno kwenye suala hili
1. mobile banking yenu ipo very limited (Tigo tu mitandao mingine hola!)Acc zetu zote zinaweza kupokea na kutuma pesa isipokua za Fixed deposit. Na vile vile utaunganishwa na mfumo wa digital banking ambao utaweza kufanya haya yote hata ukiwa nyumbani.
Sio walimu tu mkuu,sasaivi ukisema uingie kichwa kichwa kwenye hii mikopo ya bank nakwambia utajikuta unaumbuliwa mchana kweupe jua la utosi,hali siyo hali.Hahahaha hapa ndo walimu mnaponiachaga hoi
You know them very well!1. mobile banking yenu ipo very limited (Tigo tu mitandao mingine hola!)
2. mobile banking yenu ime limit 1M tu kwa siku
3. mobile facility yenu haina user-friendly bank-to-bank
4. kwenye regions ambazo hamna branches, hamkubali mortgage. why??
mkiyafanyia kazi hayo, mpo vizuri otherwise.
Msaada jinsi ya kuunganisha card yangu na malipo ya online kama paypal an skrill nilijaribu kujiunga ikakataaAnd about other regions tunakua so far tupo Arusha and Mwanza na soon Mbeya.
Wazee wa forexxxMsaada jinsi ya kuunganisha card yangu na malipo ya online kama paypal an skrill nilijaribu kujiunga ikakataa