Flyover hii nchini Japan inatisha

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,181
1542800927768.png

The Eshima Ohashi Bridge in Japan spans over Nakaumi Lake connecting Matsue and Sakaiminato. It is considered one of the dangerous bridges in the world but structurally it is absolutely sound. It just looks terrifying.

Wajapani wamejenga Flyover ya kutisha.
Hawataki mchezo!
Ref:Huffington Post.
 
Hiyo ni Bridge na sio Flyover path. Kuna tofauti kubwa kati ya Bridge na Flyover path.
 
Hiyo ni bridge sijui kwanini umeiita flyover, lakini vyovyote tutakavyoita hakuna kitu kizuri duniani kama kujaza watu wako maarifa maana hao waJapan wamefanya hayo maajabu kwa kutumia Engineer's wao wa ndani na hata kampuni utakuta ni la ndani..
Tuache siasa tuwape watu wetu maarifa na kuwafundisha teknolojia ili mwisho wa siku wawe na msaada kwenye maendeleo yetu.
 
View attachment 941546
The Eshima Ohashi Bridge in Japan spans over Nakaumi Lake connecting Matsue and Sakaiminato. It is considered one of the dangerous bridges in the world but structurally it is absolutely sound. It just looks terrifying.

Wajapani wamejenga Flyover y kutisha.
Haataki mchezo!
Ref:Huffington Post.
hapo sipandi hata kwa mijeredi
 
Wanatumia vizuri resources hadi tone la mwisho... Chini kumeisha wanaenda juu sasa...

Baada ya miaka kadhaa kupata ardhi yenye miti na mchanga hazitakuepo... Magari kila sehemu..
 
Back
Top Bottom