Fly over TAZARA badilisheni muda wa mataa

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
496
Hbr wadau, Jana (jumapili)nimepita kwenye junction flyover ya Tazara nikitokea ubungo to Mbagala via Mandela road baada ya kusikia fly over imeeanza nikajua mambo mpeto, maana huwa natumia morogoro road na kilwa road siku zote kukwepa foleni. Sasa nilichostaajabu bado niliganda buguruni sheli na pia baada ya buguruni sheli pia tukaganda kusubiri mataa maana mnyororo bado mrefu na timing za mataa ni zilezile za kabla fly over.
Mapendekezo yangu.
Wahusika wabadili timing za Mataa; kama ifuatavyo.
1. Mandela road- Mandela road iwe sekunde 120 (dk mbili) kama pale junction ya kamata gari zinazotoka posta ...
2. NYERERE ROAD - NYERERE/MANDELA( Sec 30) gari nyingi zipo fly overs ni chache tu zitazokatiza kwenda Temeke
3. Waruhusu pia zinazotoka NYERERE ROAD (TBC)TO MANDELA ( KUPINDA KULIA) SEC 30
4. MATAA YA MANDELA TO MANDELA YAWE YANURUHUSU GARI SAMBAMBA IE YANAYOTOKA FROM NORTH-SOUTH NA SOUTH -NORTH KAMA YALE YA CHANGOMBE.
5. mabadiliko haya ili yafanye kazi ipasavyo pia Timing ya mataa ya BUGURUNI SHELI YASETIWE UPYA.
6. Kwa mabadiliko haya Fly over itakuwa na msaada sana, bila haya mabadiliko Mandela road bado itakuwa ni mateso sana.
 

Umesomeka
 
MATAA YA MANDELA TO MANDELA YAWE YANURUHUSU GARI SAMBAMBA IE YANAYOTOKA FROM NORTH-SOUTH NA SOUTH -NORTH KAMA YALE YA CHANGOMBE

Unge edit hapa paeleweke vema

Ulianza vema kwa kutaja barabara, ila umeharibu maana baada ya kuingiza hayo maandishi yenye red
 
Mie nilisha sema humu flyover TAZARA wakati Buguruni kuna makutano ya barabara haitasaidia. Mfano Ubungo pale mradi ukikamilika subiri uone foleni za kwenda Mwenge, Buguruni na Magomeni.
Flyover ni nzuri kwa kupendezesha jiji tu.


Labda Buguruni, Tabata na sehemu zingine waweke round about
 
Leo ndo kipimo chenyewe, kawaida foleni huwa inafikaga banda la ngozi ngoja tusubiri
Ipo siku isiyojulikana foleni itafika mpaka hapo kwenye hiyo flyover yenyewe, sisi wabongo ni mabingwa wakutengeneza problems kwenye solutions
 
Unge edit hapa paeleweke vema

Ulianza vema kwa kutaja barabara, ila umeharibu maana baada ya kuingiza hayo maandishi yenye red
Namaanisha gari ziende sambamba mataa yaruhusu zinazotoka na zinazoenda mandela road kwa pamoja. Sio kama ilivyo sasa ambazo zinatoka tazara zikiruhusiwa zinaruhusiwa pamoja zinazokata kwenda kariakoo huku zinazotoka buguruni zinasubiri
 
Labda Buguruni, Tabata na sehemu zingine waweke round about
Hiyo italeta ajali na kuongeza foleni mara dufu. Ni kurekebishs tu timings gar zinazonyoosha zipewe muda zaid
 
Mie nilisha sema humu flyover TAZARA wakati Buguruni kuna makutano ya barabara haitasaidia. Mfano Ubungo pale mradi ukikamilika subiri uone foleni za kwenda Mwenge, Buguruni na Magomeni.
Flyover ni nzuri kwa kupendezesha jiji tu.


Kuna member mmoja alikuja na mchoro ukuonyesha kituo cha bus kipo karibu na mataa sikuelewa ali refer kituo gani kumbe moonhoni mwa maeneo yanayofanana na ule mchoro ni Buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…