Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,350
- 37,843
Tatizo la watawala wetu ni kufikiri Dar ndio Tanzania siku wakijabaini Tanzania ni kubwa kuliko Kenya,Uganda,Rwanda & Burundi zote ukiziunganisha kwa pamoja bado kufikia ukubwa wa Tanzania wataanza kutazama Mwanza,Tanga,Arusha,Mbeya,Kilimanjaro,Mara & Kigoma.