Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 241
Kati ya majina haya ni lipi mbarawa atajenga Dar ndani ya miezi 3 au 6? Flyover,interchange,intersection,pedestrian bridge au bridge?
Ukisoma bandiko kwa utulivu mpaka mwisho utaelewa but, hiyo 2000 nimeweka maximum price iwe gari kubwa au ndogo NA 13000 ni magari yanayopita kila siku hapo Nyerere Bridge.hebu weka mchanganuo wako vizuri, katika hizi namba (13000x2000) 2000 ni nini na 13' ni nini!?
Nasikia gari dogo ni 1,500/- na watumiaji wanataka ipunguzwe. Na ukiangalia rate ya upitaji magari roughly unaweza kusema ni gari moja kila baada ya dakika 5, na hapo usiku wa manane mpaka alfajiri unaweza kupata gari moja baada ya dakika 7-13.
Ukijumlisha operating costs, depreciation na interest ya pesa inahitaji kama miaka zaidi ya 65 kurejesha billion 270.
Nimekuelewa sasa. Hebu tafakari kama kweli kitu hiki kinawezekana hasa ukitilia maanani kuwa waliolitumia hilo daraja wanadai kukaa dakika zaidi ya tatu kulipia na kupata clearance:Ukisoma bandiko kwa utulivu mpaka mwisho utaelewa but, hiyo 2000 nimeweka maximum price iwe gari kubwa au ndogo NA 13000 ni magari yanayopita kila siku hapo Nyerere Bridge.
Je,
Lingine ambalo hujaelewa?
CHADEMA wanaplan gani za maendeleo? Hebu acha utumwa wa kishabikiMy be chadema wachukue nchi hayo utayaona sio kwa ccm.
swissme
Hiyo miradi ni ya CHADEMA?kukueleza ukweli?UVCCM kweli mnaisoma number sasa.
swissme
Hapo zitajengwa mbili, na ya pili itajengwa mwaka 2025 wakati Magu akitaka kuachia ngazi
Pia wakati wa uzinduzi watajaa makada wa CCM na nguo zao kama kawaida, utafikiri wamejenga wao kumbe ni KODI YA WANANCHI kwa ujumla.
UKAWA?????Hongera UKAWA kwa kulibadili jiji la Dar es salaam.
Kuhunga hunga????Flyovers gani zinajengwa ndani ya miezi sita! Au ndio haya ya kuhunga hunga kwa vyuma bila ya kutumia zege?
Yaani sijui kamezeshwa hirizi za mbowe..Anaweza asipone kabsaa, maana dawa uangalia na akili ya mtu
wewe ni mtumwa wa Mwigulu.Chadema wanaplan gani za maendeleo? Hebu acha utumwa wa kishabiki
Tuwe na uelewa kidogo tutambua kati ya madaraja na barabara za juu ....kinachojengwa Tazara si flyover bali ni bridge........ili iitwe barabara ya juu au flyover ....angalau iwe kuanzia kilomita kumi na kuendelea
Miaka ya 20000, nina mashaka na weweSisi huku Kny tulishamaliza hiyo miaka ya 20000for now tunaplani treni ya ardhini
Bora mwigulu kuliko Ngoyai na Ngombale mwiru.. Hao washakunywesha jasho lao kabisaa kila kitu kupinga tu, utakuja umpinge hata bi mkubwa wako kuwa hajakuzaa kisa UKAWAwewe ni mtumwa wa Mwigulu.
swissme