atrash
Member
- May 1, 2011
- 75
- 12
Habari zenu wana jf nauliza ni quality gani nzuri kati ya hizi zifuatazo kwaajili ya kudownload file ktk youtube na kuli convart ili nili burn ktk DVD
1.FLV file quality 360p
2.FLV file quality 240p
3.FLV file quality 480p
4.MP4 file quality 360p
5.3GP file quality 114p
majibu kwa lugha ya taifa tafadhali
1.FLV file quality 360p
2.FLV file quality 240p
3.FLV file quality 480p
4.MP4 file quality 360p
5.3GP file quality 114p
majibu kwa lugha ya taifa tafadhali