Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

acha utani ndani ya Sikukuu kijana
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301
 
Unaposema kukosa upinzani unamaanisha nini?
Binafsi Lennox Lewis alikuwa njema sana lkn alishawahi kupata joto la jiwe toka kwa Hasim Rahman na Oliver McCall.
Hata mie nashangaa kutomuona ktk list hii!

Lile pambano na Rahman Lewis alikiri kufanya uzembe kule south africa na waliporudiana si ulioona Rahman alivyoumuliwa kichwani? Kifupi Mpaka anamdunda Tyson na wale kina Vitali hakukua na bondia mwingine aliyeweza kusimama na Lewis katika kipindi kile.. kumbuka kuwa hata huyo Oliver McCall alipocheza na Lewis aligoma kuendelea na pambano dhidi ya lewis tena alilia kbs ulingoni .. kifupi Lewis alikuwa one of the best boxer shida ni kwamba hakuwa na mvuto tu ni kama alikua mpole mpole flani wakati bondia anatakiwa awe na vurugu vurugu sababu ya nature ya mchezo wenyewe
rahman-head.jpg
rahman-head.jpg

Hiki alichofanyiwa Rahman na Lewis kitabaki kuwa kumbukumbu ya milele katika history ya heavyweight boxing
 
Eti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
Mwambie huyo bwege mpira ndo mchezo ambao hata timu ya super ligi inaweza kucheza na timu ya daraja LA nne ngumi hairuhusiwi,mtu wa heavy weight hawezi kucheza na mtu kama my weather atamuua! Vitu vingine havilinganishwi
 
Lile pambano na Rahman Lewis alikiri kufanya uzembe kule south africa na waliporudiana si ulioona Rahman alivyoumuliwa kichwani? Kifupi Mpaka anamdunda Tyson na wale kina Vitali hakukua na bondia mwingine aliyeweza kusimama na Lewis katika kipindi kile.. kumbuka kuwa hata huyo Oliver McCall alipocheza na Lewis aligoma kuendelea na pambano dhidi ya lewis tena alilia kbs ulingoni .. kifupi Lewis alikuwa one of the best boxer shida ni kwamba hakuwa na mvuto tu ni kama alikua mpole mpole flani wakati bondia anatakiwa awe na vurugu vurugu sababu ya nature ya mchezo wenyeweView attachment 1181232View attachment 1181232

Hiki alichofanyiwa Rahman na Lewis kitabaki kuwa kumbukumbu ya milele katika history ya heavyweight boxing
tatizo la lewis alikua anashinda kwa point,muoga,alikua anatumia urefu wa mikono yake kudukua nyuso za wenzake ndomana watu hawakumpenda,ulingoni alikua anakimbiakimbia sana..alikua anaboa
 
Kukuonyesha kua huna akili, nikusaidie, kujua kama Nyerere alifanya makosa au mazuri kwenye uongozi wake unahitaji kua lazima umezaliwa enzi za utawala wake?
nani anajua ukali wa vita zaidi ya mpiganaji!?....utupu wa fuvu lako unajionesha katika kutusi wengine,ukikua utajua u zuzu kiasi gani
 
Rudi shule uongeze maarifa. Kichwani huna kitu kabisa.
tangu lini shule za tanzania zikaongeza maarifa!!!...si unaona we ulivyo mjinga na zaidi leo wasomi ni wengi lakini nchi inazidi tu kutopea kwenye umasikini,hata kula imekua shida wakati wa mkwawa na milambo hapakua na omba omba
 
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301
&text=&source=&data=
 
huyu anapigana na wanawake ndio unamfananisha na Mohamed Ally?

Unajua Mohamed Ally kapigana na mijiti gani??

acha kukufuru ndugu, you know nothing about M.A

Kaa kimya, kabisa, kama hauwezi kumfuatilia kumsoma, kuangalia record zake youtbe basi mheshimu M.A
Halafu sidhani kama amewahi kuangalia mkanda wowote wa Mohamed Ally ili afahamu ni kwanini anaitwa ndie Greatest Of All Time! Na mtu hawezi kupata tafsiri rasmi ya kwamba ndondi ni mchezo wa burudani endapo hajawahi kuona upiganaji wa M.A
 
Naam mfano ile burudani ya Kinshasa ya rumble in the jungle ndio inatoa tafsiri halisi kama Ali alikua bondia maana hakutaka watu wakose burudani alimpeleka Foreman mpaka round za mwisho ndio akammalizia watu hawakujutia viingilio vyao.. vp kuhusu Thriller in Manila ? Dah achana kbs na yule kiumbe!
 
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.

Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.

Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.

View attachment 1180301

afu mkuu sio GOT ni G.O..A.T ,,,ila sio kesi TMT kwa hayati Muhammad alli bado sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom