Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,214
- 34,440
Namba hazidanganyi, anayejua anajua tu japo kuna kundi la watu akiwemo Oscar De La Hoya wanatumia nguvu kubwa sana kumshusha Floyd lakini wanagonga ukuta.
[/QUOTme nawaona wamarekani tu hapo...asa sijui wametumia vigezo gani
Labda ngoja na mimi nianze kufuatilia mapambano ya Mayweather kwa ukaribu maana sijawahi kuvutiwa na upiganaji wake huyu jamaa...Tyson vp?
Mike Iron Tyson!Labda ngoja na mimi nianze kufuatilia mapambano yake kwa ukaribu maana sijawahi kuvutiwa na upiganaji wake huyu jamaa...
Mkuu vipi mama yake Diamond anaendeleaje??Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.
Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.
View attachment 1180301
Eti ???Tyson vp?
Sorry nilikuwa namaanisha upiganaji wa Mayweather ndio haujawahi kunivutia...Mike Iron Tyson!
EwaaaaaEti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.
Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.
View attachment 1180301
Ally alikuwa anapigana heavy weight we bwege na heavy weight ndo ngumi siyo upumbavu was hao kina my weather!Hanna MTU atamkumbuka bondia kama Hugo anaye paki basi!Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Senior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.
Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.
View attachment 1180301
Mwakinyo, Snake boy ndio takataka gani hizi?Acheni utani mwakinyo yuko wapi ?? matumla snake boy yuko wapi ?? mleta mada unatumiwa na mabeberu
Vipi kwa maana ya vipi?Tyson vp?
Sasa unayoleta wewe ni mapenzi.Labda ngoja na mimi nianze kufuatilia mapambano ya Mayweather kwa ukaribu maana sijawahi kuvutiwa na upiganaji wake huyu jamaa...