BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Kila kitu ni possible mkuu chini ya hili jua..Daaah huku duniani sijui wengine tunafanya nini...πππππ
Ni kweli ndugu yangu, lakini ukiangalia maisha ya watu wengine unajiuliza tu wapo dunia hii hii au???Kila kitu ni possible mkuu chini ya hili jua..
[emoji5][emoji5]
Kweliiii aisee[emoji134]Daaah huku duniani sijui wengine tunafanya nini...πππππ
[emoji2][emoji2][emoji2]Watakuja wale wenzangu na mimi na comments zao utasikia "duniani tunapita maisha ni mbinguni" "Mali bila Yesu ni bure"
Ni kukazana mkuu ..Mhhh unaweza mpaka ukajiwazia vibaya
Ukome kututia machungu hapo hata ntafute mala 100 sipati hata robo
Basi uzima uwe wakwetu
Mkuu maswal kama hayo lazima yajeNi kweli ndugu yangu, lakini ukiangalia maisha ya watu wengine unajiuliza tu wapo dunia hii hii au???
Hayo ni matokeo ya bidii na kujituma.Hapa ndipo sometimes uwa ninahisi kuna maisha mara nyingine, yani ukifa unazaliwa kwingine na maisha mengine.
Haimake sense juma anaishi Tanzania ana maisha magumu ni kibaka ana madhambi tele, halafu mayweather yuko states ana maela mengi na anafanya kufuru na uzinzi naye ana madhambi pia halafu eti wote wakifa waende motoni wakati mmoja duniani alikula raha mwingine aliishi kwa tabu.
Bidii nyingine hata ujitume vipu kwa mazingira haya tunayoishi humfikii floyd.Hayo ni matokeo ya bidii na kujituma.
Zaidi ya hapo mtaishia kulalamika na mtakufa mkingali mafukara
Jipende usilinganishe maisha yako na ya wengine.... yafurahie kwa namna uipendayoNi kweli ndugu yangu, lakini ukiangalia maisha ya watu wengine unajiuliza tu wapo dunia hii hii au???
Hapana aisee vifo vyenu vitatofautian mkuuIla nae atakufa sawa na MIMi
Ukiona mwanao anachapana mtaani, muencourage mkuu. Kipaji hichooDaaah huku duniani sijui wengine tunafanya nini...πππππ