Usije kuwa unamsema John Nducha....!
Mbona kawa bonge?sio kama zamani
hapa anaita......
Mbona kawa bonge?sio kama zamani
hapa anaita......
Hapana. Mie namsema A. Nducha kama sikosei. Aliosomea mambo ya UJENZI na nduguye alikuwa mambo ya UMEME. Kwa sasa wote ni mafundi mchundo au hata ni Wahandisi.
Huyu aliyesomea umeme alikuwa mtoto wa mjini sana ingawa ukiangalia kwenye picha kafanana saana na huyo mzee. Kama sikosei walikuwa wanakaa Kibaha. Pia nilishakaa na kijana mmoja ambaye alikuwa akiitwa Mdoe. Mama yake kijana alikuwa ni Nducha family wa Kibaha na baba alikuwa ni mkali wa kutengeneza mashine na process nzima ya kutotoa vifaranga. Baadaye alikuja akahamia Interchick, Mbezi beach.
Anyway, hii familia naona ni kubwa saaana.
Wee Mshamba nini? This is what we call: ---- Yo Yo Effect.
mbona sioni kikuku shem? lakini alisema kafunga ndoa leo mbona send off tena?Kwa mbali naona Kikukuu mguuni inamaana gani hiyo Shem?
naona alivalishwa pete ya uchumba siku nyingi cus hii picha ilikuwa 2007 kama sijakosea........lol ana mabega mazuri kweri kweri yang'ara ati.....nazimia sauti yake
naona alivalishwa pete ya uchumba siku nyingi cus hii picha ilikuwa 2007 kama sijakosea........lol ana mabega mazuri kweri kweri yang'ara ati.....nazimia sauti yake
mbona sioni kikuku shem? lakini alisema kafunga ndoa leo mbona send off tena?
Matundiko mengine ni Mungu tu anajua watu wake mwenyewe. Lakini lets pretend that home of great thinkers. Huenda alikuwa mumewe na wana hati pamoja na ataka kuweka pingamizi pengine msaidieni wanaJF ili tundiko lake liishie. Au siyo!
Ana kikukuu bwana wewe check fresh!
Kaolewa na mimi. Now what next???
Fidel tueleze maana ya vikuku vya miguuni tuelewe
Arusha nilisoma na Nducha wawili. Pia huku Sikonge miaka ilee alikuwepo mama mmoja akiitwa Mama Nducha ama kwa Kinyamwezi "Nya wa Nducha". Alikuwa akitengeneza chai moja safi sana na hii ikampa sifa na umaarufu. Sina uhakika sana ila nafikiri alikuwa kwenye Mgahawa wa Moravian church/Hospital.
Labda nikusaiidie wewe unahoji kujua mume wa flora...kuna faida kubwa sana sana ...hivi sasa kuna wanaume wanatoka mikoani wameacha wake zao na familia zao wanakuja kuwadanganya madada zetu....so ni mmuhimu watu kujua unaoa/kuolewa na nanani...hatutaki kuwabebesha wachungaji mashehe matatizo yanayojibika....