Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,127
- 2,945
Mbona mnasema frola amsamehe mbasha?mbona hamsemi mbasha nae amsamehe frola kwa kitendo chake cha,mosi,kuamka saa kumi na moja alfajiri anaenda jim na kurudi saa nne asbh,kisha anaenda tena saa kumi jioni na kurudi saa nne usiku pasipo ridhaa ya mumewe,pili,kwenda kuishi gest huku akijua ni mke wa mtu na taratibu haziruhusu mke wa mtu kwenda kuishi mahala pengine zaidi kwa wakwe zake ili akashitaki huko na mume aitwe huko na ndg zake aonywe.tatu,kuliwa uroda na gwajima na kufikia kumuundia njama mbasha aende jela ili ajitanue na mchungaji gwajima. Je, kwahayo yote kwanini mseme frola amsamehe mbasha badala ya kusema nae mbasha amsamehe frola?