Mkuu, mbona huyu ni "kada" wa ccm; na wasee wa ccm wamemtunuku ubunge wa viti maalum ili wasee (EL) waendelee kufaidi ?Huyu dada ambaye watu wanaamini ana upako huwa simwelewi,..kwanza nilimwona kavaa manguo ya kijani mwaka jana kikwete alipotangazwa rasmi kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm,..nafikiri ni mwanachama wa ccm sababu aliwapigia hata debe wakati wa uchaguzi!!sasa hii ya kumwalika lowasa ndo imeniacha hoi,.lowasa amethibitika beyond reasonable doubt kuwa ni fisadi papa,may be iam wrong lakini sina heshima na huyu dada na gospel zake nilishaacha kuzisikiliza
Mkuu kwani hujui kuwa waimbaji wa Gospel karibu woooooote wapo kibiashara zaidi? Na wengi wao wanadhani kuji-atach na ccm ndio kufanikiwa mapema. Huenda ni sawa lakini hiyo ni dalili kubwa sana ya unafki uliotukuka. wengi wa hawa ni wanafki.
Jaribu kufanya utafiti kama kweli wanaimba kwa nia ya kutangaza injili, ni kiasi gani cha mapato yao wanatoa kama sadaka kwa njia tofauti tofauti?
hayo ni maendeleo. pongezi dada flora umekula matunda ya uchaguzi mkuu kwa kazi inayoonekana kwa macho. wakuu yafaa tumpongeze kwa hilo tuache roho ya kwa nini!
Acha uwongo wewe! Kwa nini mnapenda kuandika vitu msivyofanyia utafiti. Tatizo lenu kila kitu ni ku-generalize. You should be fair mnapotoa comments zenu.
Ukiona hivyo ujue Mzee EL katia mchango wake kwenye hiyo studio.
Ila sishangai kwa Florah kula pesa ya EL, mbona maaskofu wanalamba bila ubishi na wala hatujasikia ametengwa kama wanayotengwa wazinzi makanisani?
ANGALIZO: Chonde chonde kina Mbasha na wengine kuleni hela yake ila msitujie hapa 2015 na kauli za "EL ni chagua la Mungu"!
Acheni kugeuza jumba la Baba Yangu kugeuzwa kuwa kama pango la wanyang'anyi Flora Mbasha!!!Hii hela ndo ilimuua YESU...Hii hela ndo shetani kuu la hii dunia.
Kila mtu amekua msaliti kwa ajili ya hela.
Acheni kugeuza jumba la Baba Yangu kugeuzwa kuwa kama pango la wanyang'anyi Flora Mbasha!!!