Flora Mbasha Mwombe Mungusana akufungulie has Rohoni

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,085
Reaction score
38,460
Maombi yangu Mungu awatie nguvu kumaliza mambo haya wasimame wao kama wao na Mungu wao wasimtumaini binadamu kulinda nyumba yao.

Mungu wa mbinguni asimame nao aangalie rehema za mzee Kulola.
 
Nipata shida kusoama mpaka mwisho. Inamaana dada yetu hajiwezi kwenye majambozi
 
Pengine kama mwanandoa ssitaji kuongelea sana matatizoyabmwenzangu Bali ushauri nimuhimu zaidi

Nimeona Leo magazeti mitandao yakimwongelea mumewe kwa ubakaji

Pengine ni kumshukuru Mungu kumfunulia Hilo kupitia
Nduguye huyo aka shemeji

Sina mbaya kumjulisha na kulesamakisamaki anapokwenda nabgariyako na bibiemdogo sasa uwe mwisho

Angalizo
Najuavunachopitia na lazima uelewe akunamwanadamu anaeruhusiwa kutenganisha ndoa yenu ha sikumoja maombiyangu ushauri na mawazo yatolewe kwania yakuwarudisha pamoja na mmoja kutubudhambizake

Mungu aakupitishe kwa hili
Kila karibulinamlangowakutokea

oya unazingua bana kuandika gani huku?wataka kusema na kuongea waongea namna hyo au
 
Flora amemkomoa jamaa kwa kumnyima K kisha kamsogezea chambo. Ima nae HAPISHI CHAMBO KAMA PAPA
 
Kuna jamaa kaandika kwenye uzi mwingine kuwa "kichwa kidogo kikisimama kikibwa kinakoma kufanya kazi".
 
Attachments

  • 1401395770973.jpg
    1401395770973.jpg
    29.3 KB · Views: 748
  • 1401395795981.jpg
    1401395795981.jpg
    8.9 KB · Views: 689
Pengine kama mwanandoa ssitaji kuongelea sana matatizoyabmwenzangu Bali ushauri nimuhimu zaidi

Nimeona Leo magazeti mitandao yakimwongelea mumewe kwa ubakaji

Pengine ni kumshukuru Mungu kumfunulia Hilo kupitia
Nduguye huyo aka shemeji

Sina mbaya kumjulisha na kulesamakisamaki anapokwenda nabgariyako na bibiemdogo sasa uwe mwisho

Angalizo
Najuavunachopitia na lazima uelewe akunamwanadamu anaeruhusiwa kutenganisha ndoa yenu ha sikumoja maombiyangu ushauri na mawazo yatolewe kwania yakuwarudisha pamoja na mmoja kutubudhambizake

Mungu aakupitishe kwa hili
Kila karibulinamlangowakutokea
Unajua Flora hana la kujitetea mbele za Haki, maana alipewa Emma akiwa na mapungufu na kazi yake ilikuwa kumkamilisha. Yeye kakimbia hiyo assignment na kwenda kuishi hotelini. Anyway, Mwenyezi ni warehema, msamaha uko wazi kwa wote.
 
Pengine kama mwanandoa ssitaji kuongelea sana matatizoyabmwenzangu Bali ushauri nimuhimu zaidi

Nimeona Leo magazeti mitandao yakimwongelea mumewe kwa ubakaji

Pengine ni kumshukuru Mungu kumfunulia Hilo kupitia
Nduguye huyo aka shemeji

Sina mbaya kumjulisha na kulesamakisamaki anapokwenda nabgariyako na bibiemdogo sasa uwe mwisho

Angalizo
Najuavunachopitia na lazima uelewe akunamwanadamu anaeruhusiwa kutenganisha ndoa yenu ha sikumoja maombiyangu ushauri na mawazo yatolewe kwania yakuwarudisha pamoja na mmoja kutubudhambizake

Mungu aakupitishe kwa hili
Kila karibulinamlangowakutokea

hiyo smartphone umeipata leo au ni haraka ya kuweka thread?
 
Pengine kama mwanandoa ssitaji kuongelea sana matatizoyabmwenzangu Bali ushauri nimuhimu zaidi

Nimeona Leo magazeti mitandao yakimwongelea mumewe kwa ubakaji

Pengine ni kumshukuru Mungu kumfunulia Hilo kupitia
Nduguye huyo aka shemeji

Sina mbaya kumjulisha na kulesamakisamaki anapokwenda nabgariyako na bibiemdogo sasa uwe mwisho

Angalizo
Najuavunachopitia na lazima uelewe akunamwanadamu anaeruhusiwa kutenganisha ndoa yenu ha sikumoja maombiyangu ushauri na mawazo yatolewe kwania yakuwarudisha pamoja na mmoja kutubudhambizake

Mungu aakupitishe kwa hili
Kila karibulinamlangowakutokea

hata sijamaliza kusoma utumbo ulioandika. Kama huwezi kuandika vizuri bora ukalale
 
sehemu nyingine bana unatupa shida kusoma..fanyia editing kidogo...
 
ni kwamba hujui kuandika au ni mambo ya keyboard?mie cjaelewa kiukweli mana nimetoa mpk macho ya akiba lakini wapi
 
Tatizo watu wengine hamumjui Pdidy ,ni wa siku nyingi hapa JF, kila akiweka thread lazima watu wamkosoe kwa uandishi wake, yaani hapo mwenzenu ndo kajitahidi kweli kuandika vizuri
 
Last edited by a moderator:
Wadada wengi ambao ni maarufu kitandani performance huwa chini sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom