Flora Mbasha anakualika kwenye ndoa yake

Huyu kijana bado mdogo sana amekwenda kujitwisha mzigo wa mke wa mtu.sijui hana marafiki wa kumshauri au namna gani..
Ila ipo siku atakumbuka na Frola atamkumbuka Mbasha
Hahahahaha dogo huyo ni mchimbaji Mdogo acha akague mgodi akivuna pesa anachafua
Hapo kwenye picha ni baada ya kugegedana au kabla?

Maana kwa ufuska huyu mama hatumuwezi.

Team mapovu njooni.
 
Mkuu kabla ya kuvaa gauni leupe tunafunga kwanza kuomba Mungu aepushe shari yeyote na hii inasaidia pia kuchoma mafuta ingawa lengo ni maombi

....Hahaaaaaaa :D :D sawa nimekusoma, hasa hiyo pointi ya maombi. In fact anatakiwa angalau three days awe anaamka usiku mwingiiii na kufanya maombi kwa mola wake ili hii ndoa, nasikia ni ya pili, idumu mpaka pale mwenyewe mola atakapowatenganisha.
 
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680
Nani na mamlaka gani imetengua kile kiapo cha kuwa "HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA"? Ndoa hiyo inafungwa kanisa gani? kama ni kwa pilato sawa lakini kama ni kanisani basi afungishaye ndoa hiyo ajiulize ni biblia ipi anaitumiaa?
 
Analiaibisha Jina la YESU,ameubili vizuri jina la Yesu kwa injili leo ni mzizi kwani maandiko yanasema haruhusiwi kuolewa hadi aliyefunganaye ndoa ya kwanza afe.Huo anaofanya sasa ni uzinzi
Nyie karieni kuaibisha wenzenu wanakula maisha
 
Kesho flora mbasha (kwa sasa anapenda kuitwa madam flora) anapenda kukualika kesho kwenye ndoa yake itakayofanyaka jijini Mwanza
Kama wewe ni shabiki wake kama upo single unaweza kutoa sh.50,000 au uko double unatoa sh 70,000 upate nafasi ya kushuhudia harusi yake na mumewe mtarajiwa Daudi Kusweka
Madam pia atazindua albam yake mpya
View attachment 502676
View attachment 502677
View attachment 502678
View attachment 502679
View attachment 502680
acheni ushamba mbona suleiman alikua na wake wengi
 
huyu dogo kapotea njia kabisa anaoa mkweche wakati yeye namwona bado hajawahi kuwa kwenye ndoa. Kuna siku atatamani kitu fresh aone kikoje kwani anaanza ndoa na mama aliyekwisha kaa ndani ya ndoa muda mrefu. hii nayp haita survive
Love doesnt make sense at all.
Unapojiuliza cha nini, kuna mwenzio anakesha kukiwaza atakipata lini. Mapenzi ya watu myaache tu,yatawakondesha bureeee!!
 
Maisha ya ndoa ni safari ndefu sana, ina milima na mabonde. Inatakiwa uvumilivu wa hali ya juu sana. Hatuwezi mhukumu Frola sana kwa namna hiyo au hatuwezi mhukumu Emmanuel kwa jinsi hiyo. Lakini, kuna wakati mwingine hata mahakama zinaridhia kutengana kwa wanandoa kwa sababu za msingi. Uzinzi katika ndoa inaweza kuwa ni sababu ya kutengana.

Sasa nadhani, mkishatengana au kepeana talaka kila mmoja ana uhuru wa kuoa au kutooa, sasa hapo nashindwa kuelewa ni kwa nini mnamlaumu Frola ikiwa talaka walishapeana? Pengine huyo ndiye Mungu aliempa wa kufanana nae.

Umri sio issue, ndoa ni maelewano kati ya wawili ikiwa mnapendana kwa dhati. Maisha katika ndoa ni fumbo ambalo kila mmoja wa wanandoa analo moyoni mwake. Kikubwa ni kumtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya ndoa. Na Emannuel ni kumtakia kila la kheri katika maisha yake mapya na huenda Mungu akampa mke atakayefanana nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom