Floating in dead sea

Bahari ina chumvi mara 8 zaidi ya Bahari za kawaida.......hawakai samaki wala viumbe humo
 
Napenda sana maji ila zoezi la ku float lilinishinda, kila nikijiachia napiga samasoti daah nikaona na mbeep israeli nikaachana na zoezi hilo.
Hiyo chumvi haina madhara kwa bin adam kama viumbe wengine hakuna? Au ni dawa ya ngozi?
 
ni rahisi kuliko hata kunya
 
hivi ukijaaza magunia ya chumvi kwenye swimming pool unaweza kuelea.
 
Jaribu mkuu. Magunia ya chumvi bei rahisi....lol 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…