Flirting. . .

Hey . .
Leo nime comfirm kitu. .Nikuambie. .But thru inbox yako
 
......kama alivyoandika BelindaJacob flirting is fun if you dont mean it...

Lakini je? Ni sahihi kumwambia mwenzako "am having fun, flirting with mbu,....i dnt mean anything harmful?"....
 
Last edited by a moderator:
......kama alivyoandika BelindaJacob flirting is fun if you dont mean it...

Lakini je? Ni sahihi kumwambia mwenzako "am having fun, flirting with mbu,....i dnt mean anything harmful?"....

Ndo wewe useme Mbu. . . ukiambiwa hivyo utajisikiaje?
 
Last edited by a moderator:

.....dahhh.....naungama nimefanya flirting for fun na mdada mmoja mbele ya Soulmate wangu.

Naamini pamoja na maelezo yangu 'mazuri' ya nyongeza, bado nahisi hakufurahishwa na confession yangu....

Kwa unyuzi huu na maelezo ya RussianRoulette, nakuomba deepest apology ewe mahbouba....I didnt mean to disrespect you... MwanajamiiOne.... Upo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mbu mapenzi magumu sana ivi waweza kuishi bila kupenda.
......kama alivyoandika BelindaJacob flirting is fun if you dont mean it...

Lakini je? Ni sahihi kumwambia mwenzako "am having fun, flirting with mbu,....i dnt mean anything harmful?"....
 
Last edited by a moderator:
Ndo wewe useme Mbu. . . ukiambiwa hivyo utajisikiaje?

.....mnh. na nilivyo na wivu....sitamuelewa aisee. Hapa naona kosa langu dhahiri. 'Mtenda akitendewa'.....naomba isinitokee bana...
 
Last edited by a moderator:
Mbu mapenzi magumu sana ivi waweza kuishi bila kupenda.

Chauro, kuna kupenda, kutamani, na ku flirt (sanifu?)...sijui unakusudia lipi hapa. Kama kupenda, una mpenzi wako kisha una flirt na mwingine kwa tafsiri yangu namsanifu tu....ila je? Soulmate alielewa?
 
Last edited by a moderator:
.....mnh. na nilivyo na wivu....sitamuelewa aisee. Hapa naona kosa langu dhahiri. 'Mtenda akitendewa'.....naomba isinitokee bana...
Can I flirt with you Mbu
 
Last edited by a moderator:
Yaani mi nina raha jamani we acha tu,humu Jf simfahamu hata mmoja kwa sura,na mie naamini hanifahamu mtu hapa zaidi ya kusoma comments zangu nami kusoma za wengne,kwisha mchezo.there is no room for wasiwasi!
 
.....mnh. na nilivyo na wivu....sitamuelewa aisee. Hapa naona kosa langu dhahiri. 'Mtenda akitendewa'.....naomba isinitokee bana...

Mbu. . . . now you know what not to do!!
 
Dah! Mbu.... Yaani hata sijui nisemeje hahahhh why did I take it so lightly?! Je nakuamini sana au hahahh haya bana! Nshakusamehe but naomba niulize....

Flirting hasa ina ishia kwenye flirting secretely au hata yale matani ya wazi ambayo sometimes yanawezaamsha hisia za ndani?! Mfano instead of flirting kwa sms, eye-game, guestures e.t.c! Je ikitokea ukataniana na mtu ambaye unajua kabisa kuwa kuna chembeche$mbe ya feeling, mf. Kumkalia/akupakate kama mmekaa pamoja, kumwita sweet names, kumnywesha/lisha kitu au hata kucheza naye mziki..... Will it still be flirting?!

Mbu apology accepted my Soulmate mradi uliniwahi kwa kunambia what you did kabla sijashtukia, poangechimbika ati hahah
 
Last edited by a moderator:
......kama alivyoandika BelindaJacob flirting is fun if you dont mean it...

Lakini je? Ni sahihi kumwambia mwenzako "am having fun, flirting with mbu,....i dnt mean anything harmful?"....

Mbu , yaani tena umwambie mpenzi una-flirt? kweli hujitakii mema.

Advice: Flirt at your own risk!!
 
Mbu , yaani tena umwambie mpenzi una-flirt? kweli hujitakii mema.

Advice: Flirt at your own cost!!

.... BelindaJacob, .....mnh,.....'kifua kipana!' ....nakweli mydear, at own risk. Ukishatamka maana yake inabadilika...
 
Last edited by a moderator:
Thats why most of us remain anonymous.. Kama we had to reveal ourselves pasingetosha!
Binafsi i find flirting so cool.. But i cant stand seeing my man throwing some romantic lines to another woman hata kama ni just for FUN! Selfish huh!? Ila ndo maisha.. I'd rather not find out..

Ila nasikia wengine humu wana flirt mpaka it turns to a REAL thing! That could mean trouble..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…