We mwenyewe cheater. . .mkeo hata kufuta kalaptop kako humruhusu. Alafu acha kutafuta uchokozi. . .ukipigwa mi sikuombei uachwe.
Kila siku nakumbukaga ule uzi wako wa what is the bad about me, hahaha sweet revenge!
Unless u give ur partner the taste of his own medicine labda hatokaa ajue machungu yake! Dawa ndo hiyo tu,lol!
Hahahaha. . . kwahiyo akileta ujuaji na mie namrudishia ehhhh? Kikimuuma ndo atajua sio.
Hahahaha. . . kwahiyo akileta ujuaji na mie namrudishia ehhhh? Kikimuuma ndo atajua sio.
I hate you Bishanga Babu jinga Abashaija Zee Lenye Gia Box Mbovu.
Hahahahaha, sasa hapo unataka kuanza name calling.
- Maybe ni mtu na mume wake kweli?
- Maybe respective partners wao hawaoni shida?
- Maybe AshaDii and Kaizer think it is not important to discuss it with their respective partners as they consider it not to be that bad?
What I believe in is only relevant for me and my man because we have discussed about it and we are satisfied that we see the same things in it. Siwezi kumsemea AshaDii au Shemeji yangu Kaizer.
Ngoja nimwite AshaDii tuone kama atakuja kukujibu (She is very busy lakini, sijui kama ata pata time. lol)
Two wrongs don't make a right. Just talk, communicate. Mbona mimi nisie kujua nimesoma thread na nimeelewa kua you don't like it? Basi yeye anae kujua na anae kupenda na kukutakia furaha ataelewa pia.
Kwa mtaji huo (na ukiingiza katika mlinganyo multiple IDs) basi ni wachache sana ambao hawa-cheat humu. Manake kila siku kuna IDs mpya na kila siku watu (tena wengine wanasema wana wake na waume) wanaitana wapenzi humu. Go figure....
mbona mmeshaanza kuflirt hapa au naona vibaya
Hivi kwa mfano ukimwita mkeo honey au sweethert lakini kwa utani (kwamba humaanishi kwa kumwita hivyo) maana yake nini? Naona kama inakuwa weird hivi! Lakini kwa mfano nikikwambia hapa jamvini kuwa "Jamani Lizzy nimekudondokea mbaya" nitakuwa naflirt na kwangu mimi hii inamake sense kuliko nikimwambia mke wangu maneno hayohayo maana itakuwa sio kuflirt tena bali namwambia ukweli tu.Why not?
Kule ni kutaniana, unashindwa nini kutaniana na mtu wako?
Kwahiyo back up ndio mpango mzima?
Achana na konnie,mzushi tu huyu,full kuchiti humu.
nataka niweke waume za watu kwenye ignore listi yangu...
sipendi dhambi mimi....
Si bora kupigwa,nshatishiwa kukatwa korodani, ili ujue bishanga nouma hatishiwi nyau.
Wee Bushoke, nikusaidieje?
wazikate za nini wakati zishajiishia?