Nimeona kaniita, sasa nimejibu? (I loved it lakini. lol)Hahahaha. . .we Mwali acha ujanja. .
Nyie mnaitana mpaka kuoga sijui kuogeshana alafu unasema ham-flirt? That is pure flirting.
Babu na mjukuu ni utani, hata ile ya kijana/binti mkubwa na mtoto mdogo.
Nimeona kaniita, sasa nimejibu (I loved it lakini. lol)
Can flirting go one way? au lazima iwe mutual?
So I am officially flirting with Ivuga... good.Hahahahah. . . yani bado tu unatafuta pakutokea?
Nwy , YES it can. . .but only if the other party doesn't enjoy it and makes it clear.
Bora kuuzima aisee... Ivuga is taken.Hhhmmm. . . hatua gani unachukua? Kuchochea moto au kuzima?
.....dahhh.....naungama nimefanya flirting for fun na mdada mmoja mbele ya Soulmate wangu.
Naamini pamoja na maelezo yangu 'mazuri' ya nyongeza, bado nahisi hakufurahishwa na confession yangu....
Kwa unyuzi huu na maelezo ya RussianRoulette, nakuomba deepest apology ewe mahbouba....I didnt mean to disrespect you... MwanajamiiOne.... Upo wapi?
I think tulikua tunachukua kama utani tu. . .Is he. . . ? Mbona sasa kajiweka sokoni?
Kuna msemo unasema a knight cannot be more loyalist than the king...Yeahhh that's possible aisee. . .
Sema wengine ndo kama vile sana hawawajali sana wenzao!!
He! mbona mkali sana kaka? pour some water in your wine...With all the new ways we can communicate (JF, BBM, Skype, you name it) what is & isn't flirt is not clear anymore... Zamani, if you wrote a letter with sweet words to girl/boy other than your partner, it was cheating. Personally, I used to enjoy flirting. Lakini hivi I know I would not, no, NEVER, find it okay for my partner to be flirting with anotha man.On/offline.
Utakuta kuna kijamaa kinasubiria kukudaka.
Utakuta kuna kijamaa kinasubiria kukudaka.