Flirting. . .

....aaaahhhhhh...hahahaha umeshasikika wewe hahahaha!
am out! nisijedaiwa Voucher.
Lizzy ujijue ume facilitate hii makitu aka infatution hapa..lol

Mbu mpaka najuta sasa.

Alafu kumbe na wewe ni ka'bad boi' in disguise ehhhhh? Nimeona kule kwa MM mpaka nikaahirisha thread nlotaka kurusha leo. Ngoja nikutafutie mwenye mwanya na namba nane uanze kuflirt na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
mleta maada ni nzuri sana upande wangu naona hebu tufike sehemu tuheshimu ndoa zetu si hapa jamvini tu maananashangaa hata wakati mwingne unaoa watu wanaanza kuandikiana maneno ya kimahaba kabisa kiasi kana kwamba hawana wapenzi may be nilikuwa nafikiria ni watu ambao hawana wapenzi au hawajaoa kumbe wameoa tumuongope MUNGU na wala si binadamu.
 
actions....actions babe....words are worthless here.....what if.... (watawahi wengi mno nikipataja)
sikuelewi bwana Mbu nimemtosa mzee huyo asikuogopeshe sema baby
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Mbu mpaka najuta sasa.

Alafu kumbe na wewe ni ka'bad boi' in disguise ehhhhh? Nimeona kule kwa MM mpaka nikaahirisha thread nlotaka kurusha leo. Ngoja nikutafutie mwenye mwanya na namba nane uanze kuflirt na wewe.

....pheeeewwww, Lizzy mie ninaye plizzz usinianzishie thread!...lol...

sikuelewi bwana Mbu nimemtosa mzee huyo asikuogopeshe sema baby

....koh -koh!....dahhh! Smile ujue mungu hapendi huo uchokozi wako?...lol
 
Last edited by a moderator:
....pheeeewwww, Lizzy mie ninaye plizzz usinianzishie thread!...lol...

....koh -koh!....dahhh! Smile ujue mungu hapendi huo uchokozi wako?...lol

Hahahaha. . .usiwe na wasiwasi bana Mbu. . .hiyo thread ni ya kujenga zaidi ya kubomoa. Ngoja nijipange tena.
 
Last edited by a moderator:
....pheeeewwww, lizzy mie ninaye plizzz usinianzishie thread!...lol...

....koh -koh!....dahhh! smile ujue mungu hapendi huo uchokozi wako?...lol
sasa kwa nini umenipeperushia ndege wangu jamani? Nilikuwa nakuamini basi tu kweli nimeamini umdhaniae sie.............
 
Mbu haogopeshi ila msumbufu sana....kama 'noisy neighbors' wa Man U.....
Kwa jinsi navyokupenda Smile sitaruhusu kelele karibu yetu....
teh teh (Kwa jinsi navyokupenda Smile) thax u made my day
kuna maneno sijayasikia mwaka sasa....loh
 
... RR lazima ikupelekeshe hii, Smile amekukomalia naona...hehehehe...
aheri mie nili 'disconnect' na mapema...udhaifu wangu naujua....namba nane umeiona hiyo?:eek2:
...au unaona dingirizi tu?
Hahahaaa....mkuu Mbu usiongee sana....watajaa wengi asee....wengine hawaoni picha....wanaona maanishi tu
 
Last edited by a moderator:
Flirting ya RR na Smile hii inaelekea kwenye tongozo .............. So tunapata jibu kuwa si vema kuflirt na mwingne kama unaye mpenzi wa moyo kwani flirt can lead to mahusiano!
 
wanakuwa wakali hao!!!
Lakini wao ndo mafundi.....

wanakuwa wakali hao!!!
Lakini wao ndo mafundi.....

Hahahahahahahahhahahahahahahahha. . . . . . . .
Kwani wao wanajulishwa kwamba huyu ni mume/mke wa mtu?

MwanajamiiOne. . .mami naona wameamua kuonyesha mfano kwa faida ya wale wote wasiojua flirting could be lethal.
 
Last edited by a moderator:

Nakubaliana na wewe Lizzy, na zaidi ya hapo hizi flirt zingeendekezwa pia huzaa mambo mengine!
 
Flirting ya RR na Smile hii inaelekea kwenye tongozo .............. So tunapata jibu kuwa si vema kuflirt na mwingne kama unaye mpenzi wa moyo kwani flirt can lead to mahusiano!

Sasa MwanajamiiOne siwezi kumtongoza ambaye nishamtolea kondoo na blanketi....hii ni pure flirt...100%:spy:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…