Hilo nalijua vizuri ndugu, rudi kwenye coment nilikua najibu kitu ganiUnafahamu kwa sasa hivi Tanzania ni saa kumi na dakika tano jioni (04:05PM) Na New York Marekani ni saa mbili na dakika tano asubuhi 08:05AM ......Think outside the box jombaa
Nimekusoma mkuu nimepitia uzi uliomjibu jamaa....ujue mkesha wa mwaka mpya nilipiga sana tuviroba naona akili yangu bado haijakaa vizuriHilo nalijua vizuri ndugu, rudi kwenye coment nilikua najibu kitu gani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inabidi tufatilie hizo time zones. Ila ni interesting.[emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 453947
Ndege ya Marekani UA890 Boeing 787-900 ilitoka mashariki mwa dunia huko Shanghai wakati mwaka ushabadirika na kuelekea magharibi mwa dunia huko San Fransisco ambako siku bado haijabadilika, hivyo ikafanikiwa kuweka rekodi ya kuruka tarehe 1 Jan 2017 na kutua tarehe 31 Dec 2016.
Hivyo kama angekuwa mtu amefariki China na kusafirishwa na ndege hii UA890 Boeing 787-900 kwenda San Francisco huko America angekuwa amekufa mwaka huu na kuzikwa mwaka jana.
Nothing impossible under the Sun
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] inabidi tufatilie hizo time zones. Ila ni interesting.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bado hata sijaielewa thread yenyewe, maana anaonekana kama hana uhakika kama dunia au jua vinazunguka, maana mimi ninavyojua dunia na jua vyote vinazunguka tena kwa speed kubwaMkuu soma thread #55... hope unaweza ukapa concept.
Hahaha kweli unafikiri hajaona hilo pipa ni Boeng!Mkuu hata kusoma hujui.? Au
Maelezo yamesema Boeing 787-900.
Na ka picha ukawekewa we bado unasema panga boi. Duhhhh
Nafikir kuna concept unaisahau hapa.. kwamba dunia inamove with its atmosphere... vile vile movement ya vitu katika duniana havina uhusiano na movement ya jua due to relativity.Bado hata sijaielewa thread yenyewe, maana anaonekana kama hana uhakika kama dunia au jua vinazunguka, maana mimi ninavyojua dunia na jua vyote vinazunguka tena kwa speed kubwa
hiyo ndege kushinda speed ya dunia ni kwa namna gani?