shavu kwa hao abiria wameuona mwaka mpya mara mbili katika nchi mbili tofautiKutokana na tofauti ya masaa baina ya USA na CHINA,hii ndege ili take off tarehe 1-1-2017 kutoka Shanghai China na kufika San francisco USA tarehe 31-12-2016.View attachment 453618
Non-stop flight kutoka Shanghai kwenda San Francisco ni muda wa saa 11 na dakika 05,wakati Shanghai ipo mbele kwa saa 08 GMT sawa na saa 16 tofauti yake na San Francisco CA.Kutokana na tofauti ya masaa baina ya USA na CHINA,hii ndege ili take off tarehe 1-1-2017 kutoka Shanghai China na kufika San francisco USA tarehe 31-12-2016.View attachment 453618
Ndege ilikua inaelekea mbele wakati Kalenda/time ikirudi nyuma!! Wakati wapo angani masaa yalikua yanarudi nyuma badala ya kwenda mbele!!yaani waliondoka kama leo, halafu wakafika jana!
Geographic wonder!
Mi nilichoelewa ni kwamba, mzunguko wa dunia, una spidi ndogo kuliko ndege, ndiyo maaana ndege iliipita tarehe husika na kufika mahala ambapo siku haijabadilika, bado pana tarwhe ya jana, kwa kule ndege ilikotokaNdege ilikua inaelekea mbele wakati Kalenda/time ikirudi nyuma!! Wakati wapo angani masaa yalikua yanarudi nyuma badala ya kwenda mbele!!
hah hah we ulikuwa hapa mnanila nnHata mimi nilitoka Manyovu Kigoma kwa kwa gari saa 6.01 usiku mwaka 2017 Nikafika Burundi mwaka 2016.
Yeah,walifanya kama some sort of "time" adventure!Na watakuwa walifanya makusudi hiyo flight na booking ilifanywa long time before, na mpunga kampuni imepiga kwa tiketi za flight hiyo. Yaani hapo watu walipiga hesabu zao wakaona inawezekana basi wakapanga flight.
Interesting.....Tiketi za abiria ziliandikwaje? Naomba picha
Mkuu kwa hiyo hii inaweza kua uthibitisho kua Dunia inazunguka? Maana kuna watu hua wanapinga kua Dunia haizunguki na sio kweli ni "Spherical" ?Mi nilichoelewa ni kwamba, mzunguko wa dunia, una spidi ndogo kuliko ndege, ndiyo maaana ndege iliipita tarehe husika na kufika mahala ambapo siku haijabadilika, bado pana tarwhe ya jana, kwa kule ndege ilikotoka
masaa 17 + kutoka Dubai hadi Marekani. mwaka gani huo na ilikuwa ndege ya aina gani na jimbo gani ulikwenda. mbona saa nyingi mno.
sio sayansi mkuu Kasinde ila ni maajabu ya Mungu,,,, kutenganisha usiku na mchana ni Mungu alifanya na wala has nothing to do with science!......
nataman na mimi nije nioe hicho ulichoshuhudia wewe, looks amazing tho!
Mi nilichoelewa ni kwamba, mzunguko wa dunia, una spidi ndogo kuliko ndege, ndiyo maaana ndege iliipita tarehe husika na kufika mahala ambapo siku haijabadilika, bado pana tarwhe ya jana, kwa kule ndege ilikotoka[/QUOTE
We can't feel Earth's rotation or spin because we're all moving with it, at the same constant speed. Earth spins on its axis once in every 24-hour day. At Earth's equator, the speed of Earth's spin is about 1,000 miles per hour (1,600 kph).
Hapana Mkuu hakuna, Dunia nzima tumeshaingia 2017Kutokana na kuwepo kwa utofauti huo wa masaa hivi hadi Leo bado kuna eneo au nchi ni 2016?
inawezekana,Mkuu kwa hiyo hii inaweza kua uthibitisho kua Dunia inazunguka? Maana kuna watu hua wanapinga kua Dunia haizunguki na sio kweli ni "Spherical" ?
Kutokana na kuwepo kwa utofauti huo wa masaa hivi hadi Leo bado kuna eneo au nchi ni 2016?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Dah umetisha!!!!Interesting.....
Maana hata computer system hapa ilipata kigugumizi, departure time 2017 arrival time 2016, dah!!
Yeah, walikuwa wabunifu sana na waona fursa, hata mie ningekuwa nazo pesa alafu niko huko ningefanya hiyo adventure.Pia imeipa umaarufu zaidi hiyo Kampuni ya ndege,ni kama aina fulani ya commercial advertisement,ubunifu mzuri sana,hongera zao,watu wanaona mbali sana aisee!!
Daaah, hiyo geography yapi mkuu yani ndege izidi speed ya duniaMi nilichoelewa ni kwamba, mzunguko wa dunia, una spidi ndogo kuliko ndege, ndiyo maaana ndege iliipita tarehe husika na kufika mahala ambapo siku haijabadilika, bado pana tarwhe ya jana, kwa kule ndege ilikotoka