Flexibility ya kusoma Masters-MBA/BBA at out-the Open University of TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flexibility ya kusoma Masters-MBA/BBA at out-the Open University of TZ

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HAZOLE, Jul 7, 2011.

 1. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  HABARI WANDUGU.
  Katika kusaka masomo ya masters, naona OUT imetulia, masters-MBA inaprogramme nzuri-marketable na wanatoa through 3 options; distance learning, evening mode-dsm only na executive(mwanza,mbeya, zanzibar na arusha). swali ni je; mimi ni tutorial assistant ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchini, je ni sahihi nikisoma MBA via distance learning au ni njia ipi itanifaa? je distance learning inakubalika kwa wakufunzi wa vyuo vikuu????
  wajuzi watujuze
   
 2. K

  Kipilime Senior Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Open University ni Chuo Kizuri lakin mashaka yangu ni katika muda wa kumaliza. Utatumia muda mrefu pasipo sababu. Nenda katika conventional universities kwa maana OUT ingewafaa sana watu ambao hawawezi kupata ruhusa za kuwa released fully kutoka katika kazi zao.
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  aisee nimesoma prospectus yao, very flexible. how? listen;
  1. to complete a degree programme ni maximum of 6 yrs na minimum of 3 yrs. so unaweza tumia 3, 4, 5, 6 yrs na itadepend na kasi yako
  2. masters zao ni 3 yrs maximum na 1.8 months minimum.....ipo makini ngoja niwatembelee kesho ofisini kwao nijue zaidi.

  mimi nataka nisome while working, OUT will be my better option/priority.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  kawatembelee mkuu uje utupe uzoefu...
   
 5. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kama ni TA wa ukweli, usiende kupoteza muda wako. Kasome sehem utakayopata uwezo wa kutosha kuwasaidia unaofundisha. Kila qualifications inatakiwa iendane na matumizi yake.
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ungekuwa ni mwanafunzi wa kawaida ningesema okay.....Lakini kama TA nitakushauri ukakae kutulia kwenye programs ambazo sio kama za OUT.....

  By the way kama unaona OUT kinaendana na malengo yako "mengine" sio mbaya nenda but i doubt like you are going to miss something important kama TA
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  uwezo wa kutosha unapatikana wapi huo???
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwani OUT ni mbaya?? ubaya wao je?? mbona MU wanaita MBA yao maharage ya mbeya? UDSm nayo wanasema inadesa sana? jamani kwani tukiwa skuli what criteria do we most look to asses its competency??
   
 9. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #9
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nenda havard kama vipi!? Unaomba ushauri unakuwa mbishi sana!!!! Nina wasiwasi na kama wewe ni t.a wa ukweli toka chuo cha ukweli mwenye g.p.a ya 3.8[sup]+[/sup]
   
 10. K

  Kipilime Senior Member

  #10
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hitimisho lililotolewa katika mjadala uliiofungwa ni kwamba kila chuo kina mapungufu yake. Ubora wa mwanafunzi ni juhudi binafsi na sio za chuo ha hivyo chuo kinamwezesha tu. Hoja inayoelekezwa OUT sio mbaya lakin ni muhimu kuizingatia mintarafu muda wa kumaliza. Kuna rafiki yangu alimaliza kozi work ndani ya mwaka moja lakin tangu 2007 hadi leo dissertation yake haijapita. Hivyo kama mtu ni TA tunatarajia amalize mapema ilie aende PhD akiwa kijana mwenye nguvu na kuifanyia kazi hiyo PhD yake.
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kumbuka lakini mjadala ule kuuvusha kutoka open kwenda conventional pia yanahitajika maelezo ya ziada. Sina hakika na huo U-TA wako uko wapi. Nyingi ya taasisi zetu hawatakubali promotion kwa academic staff kwa qualification ya OUT. Kifupi, achana nayo kwa sasa. Uwezo unaozungumzwa hapa ni ile interactivity ambayo ni muhim saana kwa mtu anayekuwa kwenye academics, close supervision, ubora wa Waalim wanaokufundisha lakini pia malengo yako ya baadae. Kwakuwa OUT, mbeleni utahangaika saana hasa kama huwa unawaza exposures kwenye high level kimataifa. Kwa ujumla muda wa kujijenga ni sasa kwa kuongeza uwezo kwenye vyuo bora zaidi ili uweze kushindana.
   
 12. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  thanks brother..... nimekupata. sina nia mbaya ya kuwa mbishi, nikatika kujadili tu na kuona vyuo vyetu vinachukuliwaje na nini mustakabali wake katika kutoa elimu bora hapa nchini na nje ya nchi.
  nadhani sasa naweza chagua chuo sahihi na kumaliza mapema sana na kuendeleza kazi
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  nimekusoma.
   
 14. kwempa

  kwempa Member

  #14
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hvi chuo kama out kinafundisha wanafunzi ili wawe compitence au ili wapande vyeo kwenye office zao 2,maana kama mhitimu wa convectional university 2 anahitimu akiwa still yuko shallow,huyo wa out ye anakuaje wajamen?
   
 16. K

  Kipilime Senior Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo sehem yenye red colour. Kwa hiki kingereza tusiwaluamu saint kayumba wala shule za kata.
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ni lugha yangu ya tatu so cjui unashangaa nn mkuu?
   
 18. R

  Retreat JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu uliyeleta mada hebu pitia hiki kitabu cha MBA - OUT. Pia ningependa kujua wewe ni TA chuo gani? maana walimu karibia wote wanaofundisha MBA - OUT ni kutoka UDSM.

  Tatizo watu bado hawana current info, ila kwa ushauri wangu MBA - OUT ya sasa ni bora zaidi kuliko ya zamani. Maana imefanyiwa restructuring na unamaliza baada ya miezi 18 tu, wao wameigawa katika Tri-semester kila moja ni 15wks, then unafanya Dissertation kwa 30wks mchezo unakuwa umeisha.
   

  Attached Files:

 19. MAKULILO

  MAKULILO Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 84
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  USHAURI WANGU:

  Kwa kuwa wewe ni TA katika chuo kikuu kimojawapo Tanzania, ninaamini kuwa una GPA nzuri kuanzia Upper Second Class ya 3.5 na kuendelea...lakini kwa vyuo vingi TA wao wanaanzia 3.8. Sasa basi, ushauri wangu si vyema kwenda kusoma OUT sababu kubwa ni hizi zifuatazo

  1. Ukienda OUT au vingine vya Tanzania itakulazimu kujilipia mwenyewe. Labda mwajiri wako akulipie ktk chuo unachofundisha au chuo kingine. Na kama unataka kujipia SI VYEMA kufanya hivyo. Sababu kubwa ni kwamba unakuwa "unapoteza" hela zako bure wakati hela hizo unazihitaji kwa mambo mengine ya msingi pia. Nakushauri utafute SCHOLARSHIPS usome vyuo vikubwa vya Ulaya, Marekani au Kanada. Kuna scholarships nyingi sana hasa kwa wafanyakazi na watu wenye GPA nzuri.

  2. Nipo tayari kukusaidia kukupa ushauri na kukufahamisha utawezaje kupata udhamini wa elimu ya masters au phd ughaibuni. Unaweza kupitia tovuti zangu au kuwasiliana nami hapa makulilo@makulilofoundation.org


  Kwa tovuti/blog zangu pitia MAKULILO Jr , SCHOLARSHIP FORUM , ‪MAKULILOFOUNDATION's Channel‬‏ - YouTube , MAKULILO FOUNDATION

  MAKULILO
  California
   
Loading...