Mkuu MziziMkavu saidia hapa kutoa majibu ya flexseedKimya ahumu mbona hakuna majibu
Mkuu mtimkavu vipi?
wewe usikurupuke ukisikia mahali wanazungumzia kitu ukaja kutafuta na kula hizo mbegu za Flaxseed kwa kiswahili zinaitwa kwa jina ni mbegu za Katani kwa Mwanamme hatakiwi kuzila hizo Mbegu za Katani kwani zinaharibu mayai ya uzazi kwa wanaume aka Sperm utakuwa tasa ukizila hizo mbegu za Flax seed aka Mbegu za Katani.Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali pengine Tanzania.
Pia naomba kujuzwa samaki ambaye anaitwa Salmon kiingereza, je kwa kiswahili anaitwaje?
Asanteni kwa msaada wenu
MziziMkavu nadhani ingekuwa busara kama ungejibu swali kama nilivyouliza, hakuna mahali popote katika bandiko langu ambapo nimesema nataka kuzitumia kwa hayo ambayo umeyataja. Kama ulikuwa unatoa angalizo ungetumia lugha ya kistaarabu baada ya kusema nakurupuka. Ustaarabu ni kitu cha bure. Jiheshimu ili uheshimiwewewe usikurupuke ukisikia mahali wanazungumzia kitu ukaja kutafuta na kula hizo mbegu za Flaxseed kwa kiswahili zinaitwa kwa jina ni mbegu za Katani kwa Mwanamme hatakiwi kuzila hizo Mbegu za Katani kwani zinaharibu mayai ya uzazi kwa wanaume aka Sperm utakuwa tasa ukizila hizo mbegu za Flax seed aka Mbegu za Katani.
View attachment 637506
FLAX SEED (MBEGU ZA KATANI)
ok sorryMziziMkavu nadhani ingekuwa busara kama ungejibu swali kama nilivyouliza, hakuna mahali popote katika bandiko langu ambapo nimesema nataka kuzitumia kwa hayo ambayo umeyataja. Kama ulikuwa unatoa angalizo ungetumia lugha ya kistaarabu baada ya kusema nakurupuka. Ustaarabu ni kitu cha bure. Jiheshimu ili uheshimiwe
Wewe umesoma zina tibu sasa baada ya kujibiwa utakuwa tasa unamindMziziMkavu nadhani ingekuwa busara kama ungejibu swali kama nilivyouliza, hakuna mahali popote katika bandiko langu ambapo nimesema nataka kuzitumia kwa hayo ambayo umeyataja. Kama ulikuwa unatoa angalizo ungetumia lugha ya kistaarabu baada ya kusema nakurupuka. Ustaarabu ni kitu cha bure. Jiheshimu ili uheshimiwe
Kwa Mwanamke hizo mbegu za katani aka flax Seed kuzitumia zinafaa lakini kwa Mwanamme hazifai kuzitumia kwani zitakufanya uwe tasa usiweze kumshikisha Mwanamke Mimba. kwani Hizo Mbegu za Flax seed zina hormone estrogen nyingi za kike kwa hiyo ukitumia wewe Mwanamme kwa kuzila unaweza usimshikise Mke wako mimba ukapata utasa kwa haraka zaidi aka kwa lugha ya kiingereza utasa wanaita jina hili ( male menopause treatment) ushahidi kuhusu Flax Seed soma hapa.Wewe umesoma zina tibu sasa baada ya kujibiwa utakuwa tasa unamind
Zipo supermarket nyingi tu. Mfano Jumbo, Shoppers plaza.Naomba msaada kwa yeyote anayejua anifahamishi hizi mbegu zinazoitwa kwa kiiingereza Flax Seed au Lin seed zinaitwaje kwa kiswahili na ni wapi naweza nikazipata Dar es salaam, au mahali pengine Tanzania.
Pia naomba kujuzwa samaki ambaye anaitwa Salmon kiingereza, je kwa kiswahili anaitwaje?
Asanteni kwa msaada wenu