Flaviana Matata wewe si msaada kwa wanawake

Flaviana Matata wewe si msaada kwa wanawake

Tsh. 3000 ni sawa na Windhoek 1.

Sasa mwanamke gani anayeshindwa pata 3000 kwa mwezi kununua taulo za kujisitiri?

Bei ni ya kawaida tu.
 
Wana harakati uchwara Bongo hawaishi.
Miaka ya Tisini dada zako walitumia pedi za sh ngapi?

Km hawakutumia pedi..walitumia khanga za bure na matambala mengine,ingependeza uwaelekeze maskini namna ya kutumia vitu mbadala km hawana 3000,

Kuliko kuleta uchwara wkt hauna msaada wowote kwa unaempigania.
 
Mkuu wewe mwambie demu wako anunue za bei anayomudu, mbona kuna condom za 65,000 kwa pakti moja na kuna za buku jero so the choice is yours usitake mtu afanye biashara ambayo haitampa faida.
Mkuu hizo ndom za 65000 zikoje
 
pedi ya 3000/= tu, tena kwa mwezi mala moja, na bado wanalalamika? kweli kazi.
 
Ni kweli kaka, angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu, hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Ndicho tunachokiweza hiki wabongo sasa ndoa yake inaingiaje hp kwetu pedi!
 
Mkuu wewe mwambie demu wako anunue za bei anayomudu, mbona kuna condom za 65,000 kwa pakti moja na kuna za buku jero so the choice is yours usitake mtu afanye biashara ambayo haitampa faida.
Umemaliza kila kitu
 
Nilisikia akisema kila mwezi wanafunzi mia watapewa ped bure, kuna na vimichango alichangia jana.
 
Ni kweli kaka, angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu, hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana
Ila watu sijui mkoje, kwanini wewe usitengeneze za kwako ukauza 200 ?
 
Wana harakati uchwara Bongo hawaishi.
Miaka ya Tisini dada zako walitumia pedi za sh ngapi?
Km hawakutumia pedi..walitumia khanga za bure na matambala mengine,ingependeza uwaelekeze maskini namna ya kutumia vitu mbadala km hawana 3000,
Kuliko kuleta uchwara wkt hauna msaada wowote kwa unaempigania.
Katika kitu sipendi ni hawa madada wanaojifanya wanaharakati ile hali kwao hapo ndipo sehemu ya kujitafutia mkate wa kila siku
 
Hahaha watanzania mnamatatizo, sasa kama hawa mudu gharama hizo hilo ni tatizo la Flavian Matata?!

Huwezi gharama kavae vipande vya khanga.

Yeye ni mfanyabiashara, kama huwezi kununua tafuta mbadala.
 
Ila hata tangazo lake kwa Radio lile mtu yuko chooni linadhalilisha sana nikilisikia nazima Radio
 
Back
Top Bottom