Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,738
- 42,829
Ukitaka block kamuulize hilo swali kule insta.Ni kweli kaka,angeweza kuja na ped za 500 au 1000 walau! Hii 3000 ni kubwa sana kwa mabinti zetu,hivi ndoa yake iliishia wapi? Maana nasikia kulikua na mtafaruku mkubwa sana