FLATSCREEN(TV) mpya::bei sawa na bure

Mr Global

Senior Member
Nov 9, 2013
150
123
natumai hamjambo wana jamvi
kikubwa ni kukuomben kuninasua katika hiki kimtego cha mwenye nyumba maana tangu mwezi huu uingie ni kubisha hodi tu..kufuata kod yake, na mambo y matatizo anadai yapo nje y mkataba wetu
so kuanzia mda wowote nitakuta vitu vyangu nje..SO NIMEAMUA BORA NIUZE FLATSCREEN YANGU TU NIGOMBOKE(Tsh 240000)
Ahsanten
 
Samsung, LG, Singsung, Sony, Hitachi, Panasonic.... ?Inch 14,21,24,30,48,50,70,80........
 
Weka nyama mkuu,ni TV Flat screen ya aina gani??,Nchi ngapi??,Ina muda gani tangu uinunue??.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom