nimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia tv mpya au nitengeneze....!call me +255714 227532
pole sana,Vioo vinapatikana,lakini inatakiwa nikione kwani TV inaweza kuwa LG kioo kikawa cha Sharp au Sony etc.So nikikiona na kujua model yake ndo ntakupa bei. nna jamaa yangu anaviuza na anaovyo vya aina karibuni vyote.ntakupigia baadae tupange jinsi ya kuonana.

Vipi ndugu ulitibu vipi tatzo lako au ulinunua mpya? Mana mimi Kioo kimeunguamkuu nasubiri simu yako au kama vipi ni pm basi namba yako ya simu
Kiongozi upo wapi tuyajenge mi ya kwangu imeungua taa, Kama vp nitafute tuongee kuhusu kioo. Mi nipo Kibahanimepasua kioo cha LG flat tv inchi 32....nahitaji msaada kama naweza kupata kioo chake jamani....!nitashukuru sana hasa ukinitajia na gharama za hicho kioo ili niamua kutafuta hela ya kununulia tv mpya au nitengeneze....!call me +255714 227532
Bila shaka umemquote jamaa ktk muda si sahihi. Inaonyesha jamaa tatzo lilikuwa ni la mwaka 2013 so atakuwa ashapata suluhu. Shida mi Niko mbali tungeweza kuyajenga. Niko mwanzaKiongozi upo wapi tuyajenge mi ya kwangu imeungua taa, Kama vp nitafute tuongee kuhusu kioo. Mi nipo Kibaha