Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Msaada wataalam na wazoefu. Ipi model nzuri ya flat screen Tv na specification zake. nataka kununua ya inchi 32.
Ni vyema pia tuangalie na matumizi ya hizo Tv unaweka sebuleni,chumbani au ktk sehemu kubwa yenye uwazi mkubwa? Kitaalamu inashauriwa Tv ya sebuleni isizidi 25"