LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,239
- 937
Habari wakuu! Nina uhitaji wa haraka wa used flat screen ya inch 50 kwa budget ya shs laki tano, yes 500,000/= please pm me!
Duh 50" kwa laki tano?, kweli hela imekua ngumuHabari wakuu! Nina uhitaji wa haraka wa used flat screen ya inch 50 kwa budget ya shs laki tano, yes 500,000/= please pm me!
Iko Philips inch 40" na hii bila 630,000 sikupi. Nimeskia ofa yako 500,000 ila kama utakua interested na hii nitafute hapa 0786371108Habari wakuu! Nina uhitaji wa haraka wa used flat screen ya inch 50 kwa budget ya shs laki tano, yes 500,000/= please pm me!
Naomba picha za yakoNjoo nikuuzie smart TV 40nch kwa 600k
Spot on! Humu ndani tumeingiliwa na wenzetu wasio na ustaarabu! Where we dare to talk openly!? What strucks me is when the great thinkers turns to be great idiots!SIUNGI MKONO DHARAU MNAZOZIONYESHA KWA HUYU NDUGU TATZO HUMU KILA MTU ANAJIONA ANAZO NA AMEKWENDA SHULE KUMBE UNAKUTA N KULA KULALA TU MIAKA 35 BADO ANAISH KWAO ETI ANATAFUTA AU ANASUBIRI KUAJIRIWA KAMA HUNA TV AU UNAYO NA HELA UMEONA HAITOSH KAA KMYA TU, BT NNACHOJUA HUMU KWA UZOEFU WNG TV ATAPATA TENA NZMA NA KWA HELA HYOHYO.
SIUNGI MKONO DHARAU MNAZOZIONYESHA KWA HUYU NDUGU TATZO HUMU KILA MTU ANAJIONA ANAZO NA AMEKWENDA SHULE KUMBE UNAKUTA N KULA KULALA TU MIAKA 35 BADO ANAISH KWAO ETI ANATAFUTA AU ANASUBIRI KUAJIRIWA KAMA HUNA TV AU UNAYO NA HELA UMEONA HAITOSH KAA KMYA TU, BT NNACHOJUA HUMU KWA UZOEFU WNG TV ATAPATA TENA NZMA NA KWA HELA HYOHYO.[/QUOT
Spot on! Masikini wa mawazo na ustaarabu ni masikini wa kumuogopa sana! Masikini wa aina hii ni vema kumuigore sababu ataweza kukuingiza ktk ufukara wake wa akili! Ni vema umeligundua hilo mkuu. Where we dare to talk openly has been misinterpreted by some rondom dirty bag youngsters inhere! They still need loads of learning ahead of their aspirations!
Thanks mkuu, nimekucheki! Bless!Iko Philips inch 40" na hii bila 630,000 sikupi. Nimeskia ofa yako 500,000 ila kama utakua interested na hii nitafute hapa 0786371108
Okay kamandaThanks mkuu, nimekucheki! Bless!
Pamojah legend!Njoo nikuuzie smart TV 40nch kwa 600k
UMENICHEKI PM AU WAPI SIJAONA MUAMALAPamojah legend!
Naku pm namba ya jamaa anaitwa anwar Yuko kko cheki nayeSIUNGI MKONO DHARAU MNAZOZIONYESHA KWA HUYU NDUGU TATZO HUMU KILA MTU ANAJIONA ANAZO NA AMEKWENDA SHULE KUMBE UNAKUTA N KULA KULALA TU MIAKA 35 BADO ANAISH KWAO ETI ANATAFUTA AU ANASUBIRI KUAJIRIWA KAMA HUNA TV AU UNAYO NA HELA UMEONA HAITOSH KAA KMYA TU, BT NNACHOJUA HUMU KWA UZOEFU WNG TV ATAPATA TENA NZMA NA KWA HELA HYOHYO.
Shukrani sana mkuu!Naku pm namba ya jamaa anaitwa anwar Yuko kko cheki naye
Ova