Flat Screen Dell inch 15 for Sale

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Habari wana JF nauza flat screen ya dell inch 15, sory sikuweza kuweka picha.. Price 150000 kwa anaehitaji tuwasiliane 0715-321662
 
Habari wana JF nauza flat screen ya dell inch 15, sory sikuweza kuweka picha.. kwa anaehitaji tuwasiliane 0715-321662
bei gani unauza?
 
hivi kuna tv ya dell wakuu, mie bado kuiona, hapo binafsi nilijua ni monitor
 
Tembea uone, unalala sana mazee.

ndyoko, hivi kuna tv ya dell wakuu, mie bado kuiona, hapo binafsi nilijua ni monitor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom