Kuna ANDROID ambazo zina chip ya MEDIATEK(MTK)
Kama TECNO, INFINIX, ITEL n.k
Pia kuna chip ambazo ni (Qualcomm)
Mfano kama, Samsung, pia Infinix, Tecno zipo ambazo ni (QC)
Pia kuna chip SPD, nazo zipo ITEL na zingine kama Tecno CLONE
[emoji23][emoji23]najua hapa huelewei kitu maana haya mambo yanahitaji uzoefu sana.