napenda movie
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 522
- 457
uzi mzuri sana huu lakini cha ajabu utakosa wachangiaji,na hii ndio sababu waafrika tutabaki kuwa soko la wachina na wazungu,mm sijui kila kitu kwenye haya mambo ya ufundi lkn napendelea kujifunza
wataalam leteni vitu
samahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?Kwanza: Unatakiwa uijue simu yako ni chip aina gani?
Pili: Ujue chanzo ya tatizo lake ni lipi?
Tatu: Utaweza kutumia tools gani kuifanyia kazi.
Nne: Firmware(File) sahihi la simu yako
Chip ni hardware inayokusanya pamoja cpu ,gpu na zaga nyingine kama sijakosea naruhusu kusahihishwa................sasa hizi zinakuaga za aina tofauti kuna qualcom,mtk,exynos na nyingine....unatakiwa ujue sasa simu yako inatumua chip ya kampuni gani na pia ni toleo ganisamahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?
samahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?
Chip ni hardware inayokusanya pamoja cpu ,gpu na zaga nyingine kama sijakosea naruhusu kusahihishwa................sasa hizi zinakuaga za aina tofauti kuna qualcom,mtk,exynos na nyingine....unatakiwa ujue sasa simu yako inatumua chip ya kampuni gani na pia ni toleo gani
nikitaka kujua sasa natakiwa niende setting kisha wapi???Kuna ANDROID ambazo zina chip ya MEDIATEK(MTK)
Kama TECNO, INFINIX, ITEL n.k
Pia kuna chip ambazo ni (Qualcomm)
Mfano kama, Samsung, pia Infinix, Tecno zipo ambazo ni (QC)
Pia kuna chip SPD, nazo zipo ITEL na zingine kama Tecno CLONE
najua hapa huelewei kitu maana haya mambo yanahitaji uzoefu sana.
nikitaka kujua sasa natakiwa niende setting kisha wapi???
(tusichokane jamani)
karibu sana mkuuNaweka kambi hapaa
hapana ukiwa hauna box mwenye nalo anaweza kukuremoty na kazi ikafanyika chap kinachohitajika kwa sasa ni kua na pc bando lako tu na makubaliano ya bei kwa mhusika mwenye box na hua ni chip sana na kazi inaweza chukua dakika 15 hadi 30 kulingana na simu husika hivyo uwezekano upo tena mkubwa lakini kuna clack zenye nguvu kama vile miracle thunder 3.5 jalibu kuitafutaHizo simu za kutumia crack naona umezungumzia zile za miaka ile ya 2017, ila kwa sasa usipokuwa na activated tools kuna baadhi ya simu utaziangalia tu. Au zitaishia ku brink tu.
unakaribishwa ikiwa umepata shida kwa simu yeyote ile wasilisha na kwa pamoja tutapa sukuhu hapa hapauzi mzuri sana huu lakini cha ajabu utakosa wachangiaji,na hii ndio sababu waafrika tutabaki kuwa soko la wachina na wazungu,mm sijui kila kitu kwenye haya mambo ya ufundi lkn napendelea kujifunza
wataalam leteni vitu
chip hua zinaitwa EMMC hiyo ndo hubeba bootable ya simu yako kwenye computer tunaweza sema ni hard disk yenye partition iliyobeba window kwa hivyo ukikuta simu inawaka na kuganda au kutokuwa kabisa ama ina lock na vitu vingine kinachokua kimelokia ama kuharibika na kusababisha matatizo hua ni hiyo chip kwa hivyo tunapoflash hua tunafanya malekebisho kwenye hizo chip kwa kifupisamahani,unaposema chip hapo unaanisha nini ni hizi android na ios au ni kitu kingine?
hapana ukiwa hauna box mwenye nalo anaweza kukuremoty na kazi ikafanyika chap kinachohitajika kwa sasa ni kua na pc bando lako tu na makubaliano ya bei kwa mhusika mwenye box na hua ni chip sana na kazi inaweza chukua dakika 15 hadi 30 kulingana na simu husika hivyo uwezekano upo tena mkubwa lakini kuna clack zenye nguvu kama vile miracle thunder 3.5 jalibu kuitafuta
sp tool kwa simu za SPD inatumika hadi sasa na hua inafanyiwa marekebisho yaani upgrade ili kuendana na muda na simu zinazotoka kwa wakati huoSp flash tool vipi au yakizamani?
kwa sisi tanzania kuna watanzania wanafanya hizo kazi tena nipo nao kukufanyia remoty ya kutoa lock ama frp inaenda kwa bei ya kitanzania kabisa tena chap tu na mnafanya kazi mkiwa mnachat kiswahili yaani chap tu kama unayo sema nikuunganisha tupige kazi chap kwa simu inayoleta shida kwa sasa ni OPPO peke yake zingine mtelemko tu aaanSasa hivi bei ni juu mno, ukikutana na samsung yenye frp latest security utaimba pambio kama zote na kwa remoty server wanataka 15$