Flash modem yako bureeee

jozzb

Member
Jun 30, 2011
87
20
NDUGU zangu nimandika post ndefu juu ya kuflash modem za airtel na tigo bure coz sifanyi biashara.
kwa wale mnaowasiliana na mimi kuwa mnaitaka software ya kuflash modem,basi jitahidini kunipatia mawasiliano ambayo unadhani yatakusaidia wewe kuipata hiyo software.asanteni
tuijenge tanzania yetu kizalendo

Post yenyewe ipo hapa << HUAWEI UNLOCKER>>
 
Asanteeeee Uzalendo wa kweli.
 
Mkuu nina modem ya Vodafone Mobile conect (CE 0984) FCC ID: Q78-K3565-Z nipe software yake ya kuflash kama unayo,

regards
 
Mkuu nitawezaje ku unlock HTC THUNDERBOLT AU MECHA?
MSAADA TAFADHALI.
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI.
 
Naomba uspecify aina ya modems na series manake hiyo software yako haiwezi unlock modem za tigo na airtel mpya mara ya mwisho ulitudanganya watu tukaka vitako kumbe chai tupu naona umekuja kivingine. Naomba nisaidie watu kwa kuwawekea attachment ya hiyo software manake huko kwenye blog yako bado umeibania mpaka watu wakutafute maana yake nn?
Bofya hapa
View attachment Huawei Modem Unlocker v5.8.1.rar
 
kama hufanyi biashara mkuu si ungetuwekea hapa?
 
naomba utujuze kama E153u-2 kama waweza kuflash na K3570-Z maana hizi ndo modem toleo jipya.Thanx
 
Jozzb,

Humu ndani watu wanatoa software bure wewe unatuambia tulipie 8000 au 10000 ili utupatie password. kama unahitaji kufunguka basi tupe bila password au weka hewani password.
 
kama hufanyi biashara mkuu si ungetuwekea hapa?

Ameweka kwenye blog yake na ukishaishusha tu inakudai password ambapo inakupasa uwasiliana naye na ulipie 8000 au 10000. humu ndani watu wanatoa Win7 na key for free na zaidi ya software kibao lakini mshikaji yeye anafanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…