Flash imegoma kuformat

Flash imegoma kuformat

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
943
Reaction score
373
Wakuu nina flash nataka kuiformat lakini kila nikijaribu ile njia ya my computer=right click flashdisk=format inagoma. Naomba kama kuna njia nyingne ya kuformat tupatiane maujanja. pia nimejaribu ile njia ya run=type cmd=format:F(kutokana na ile herufi iliyopewa flash)inanipa majibu ya file name, volume name is incorrect wakati ndiyo yenyewe.
 
Andika cdm kwenye run then enter itakuja screen ya dos, andika cd.. Mpaka ibakie neno C:// kama sikosei ila ni C na mistari tu hamna neno mbele yake, the mbele ya c na hivyo vimistari andika neno format E: kama E si flash angalia flash inaherufi gani weka then enter itakupa kupa maelezo we enter tu mpaka mwisho itamaliza. Kabla ya ku enter baada ya kaandika neno format E: na ukawa na uhakika na herufi ya flash yako chomoa flash halafu rudisha ikishasoma kwenye pc ndio bonyeza enter na maelezo ka niliyokupa
 
wakuu kuhusu mtu anayetumia OS ya linux sijapata ila ile ya command hapo mwanzo maelezo cjayapata fuleshi
 
Una nyundo karibu?? weka juu ya meza ya mbao, shusha nyundo moja.
halafu kanunue nyingine!
 
wakuu hii njia ya command sasa hv ipo kwenye stage ya kuhesabu percentage, nitarudi kama ikifanikiwa
 
Una nyundo karibu?? weka juu ya meza ya mbao, shusha nyundo moja.
halafu kanunue nyingine!

lete ushauri wa ki tech siyo huo ukimbora wako peleka kule chit chat. Kama huna ushauri au hujui kupita kimya siyo dhambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom