Flash disk

Flash disk

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wanajamvi naomba kujuzwa flash aina gani ni nzuri
 
wanajamvi naomba kujuzwa flash aina gani ni nzuri

flash disk bora
1.transcend
2.twinmos

flash disk zisizo na uhakika sana
1.imation
2.kingstone(data traveller)
3.my flash
4.sandisk
5.sony
6.lg
7.hp
 
Du! Basi ujue kuwa Kingstone na SunDisk Ndio wako Juu.

Kama Unahitaji tuwasialiane Nikupe. SunDisk Flash, zenye "MP3 AUDIO BIBLE/QURAN"
 
sandisk ndio nzuri kuliko zote ikiwa original na pia sijui kutofautisha original na feki. hawa jamaa sandisk niliwaona ces wapo hivyo quality yao si ya kitoto.

sony pia wana flash nzuri ila pia kuna fake zake.
 
.
San disk na kingstone
zna matatizo sana...
Tena sandisk hata memory card zake ni balaa tupu...
Kingstone ikianza kuzingua huwezi ku format kirahisi....
.
Ila mi naona Adata zina u afadhali japokuwa after 10 years zina be dead...
 
Tena zinakuwa na speed ndogo sana . Unaweza kuhamisha file la 700mb kwa muda mrefu.
 
Tena zinakuwa na speed ndogo sana . Unaweza kuhamisha file la 700mb kwa muda mrefu.

hapo kwenye speed umedanganya,
speed ya kuCOPY file inategemeana na "file system"
kama storage ina file system ya NTFS hapo speed ya kuCOPY itakua kubwa ila kama hyo storage itakuwa formatted kwa file system za FAT au FAT16 hapo spid ya kusafirsha data kupta humo lazma iwe ndogo,
angalau FAT32 Inajtahdi
haya majitu tumeyasoma 2,
may b mm ckuelewa waweza kunkosoa kwa hoja
 
Nilinunua sandisk ikafa siku hiyo hiyo niliyonunua, kumbe ilikuwa ni fek, mpaka leo siziamini tena, bora hata adata
 
hapo kwenye speed umedanganya,
speed ya kuCOPY file inategemeana na "file system"
kama storage ina file system ya NTFS hapo speed ya kuCOPY itakua kubwa ila kama hyo storage itakuwa formatted kwa file system za FAT au FAT16 hapo spid ya kusafirsha data kupta humo lazma iwe ndogo,
angalau FAT32 Inajtahdi
haya majitu tumeyasoma 2,
may b mm ckuelewa waweza kunkosoa kwa hoja

Hapa hatuongei siasa kaka. Kila storage inayo Read/write speed. Hata kama wewe ni mgeni sana wa haya mambo nadhani unafahamu kitu kinaitwa data transfer rate. Iwe ni solid storage device or whatever. Go back to school kaka. Hata RAM nazo ni solid state storage na zina frequency 133mhz 4200mhz etc etc
 
Mm nina sundisk gb 8 cjawai ku removesafely wala nn ila haijawai kukorupt naitumia mwaka wa pili now
 
sandisk ndio nzuri kuliko zote ikiwa original na pia sijui kutofautisha original na feki. hawa jamaa sandisk niliwaona ces wapo hivyo quality yao si ya kitoto.

sony pia wana flash nzuri ila pia kuna fake zake.

nilinunua ebay flash ya TwinMos 8Gb ina umbo kama ufunguo. it the best i ever had. iko bomba haijawai sumbua hata siku moja na umbo lake safiii
 
Asanteni wakuu FLASH.jpg nimeagiza sandisk
 
Back
Top Bottom