Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Pole sana mkuu, natumai na wewe hawakukupigisha nyeto
 
Kuibia watu kwenye maloka kwa kutekenyesha funguo..au kwenye matrank ya chuma yale...mengine yalikuwa mepes bas tunayapiga butterfly..heheheee....kufua ilkuwa tatzo bas n kuanuliana mashat tu
 
Mkuu si vema kuitaja kwa utukutu nilokuwa naufanya, ila classmates wengi tu sasa ni mapadri. Ni seminary kongwe sana kusini mwa tz.
Basi taja tuu maeneo maarufu ya sheleni hapo nahisi tumesoma wote mimi piaa nilisoma huko kusini.... Seminary kongwe
 
umenikumbusha kuna washkaji walichukua ugali uliobaki usiku wakauweka kwenye mfuko wa sembe wakauweka asubuhi yake wakapiga na uji...halafu ukiuita ugali wanakumaindi...wanataka uuite white bread
 
Basi taja tuu maeneo maarufu ya sheleni hapo nahisi tumesoma wote mimi piaa nilisoma huko kusini.... Seminary kongwe
Seminary ambayo Rector wetu wa kipindi hicho sasa ni Askofu wa Jimbo la Mbinga. Ukiijua kaa kimya Mkuu.
 
Kuibia watu kwenye maloka kwa kutekenyesha funguo..au kwenye matrank ya chuma yale...mengine yalikuwa mepes bas tunayapiga butterfly..heheheee....kufua ilkuwa tatzo bas n kuanuliana mashat tu

Hii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.

Nilivyorudi nikakasirika sana, nikafanYa uchunguzi nikawagundua. Nikavizia siku form three wameenda shambani nikaingia bwenini kwao nami nikafungua matranka yao hao washkaji wawili.

Nikakuta hamna cha kuiba, hivyo nikaamua tu Kunya na kukojoa humo then nikasepa...
 
Tulikuwa na zamu ya kutoroka mida ya jioni kufata chapati mtorokaji ukirudi unawawekea wqliokutuma chapati chini ya mto yani enzi ni shidaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…