Mkuu umenikumbusha, siku ya jumamosi ilikua ni siku maalum maana ijioni menyu ilikua ni kitimoto. Hakuna ambaye alikosekana kwenye foleni.1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
Haha, Mkuu hilo la kufuta mhuri wa stempu kumbe lilikua kila mahali?Hahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mulemule aaaan ka tulisoma skul moja we jamaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kunywa uji na kiporo cha makande au ugali wa jana kwa kuwa huna hela za kununulia mandazi au vitumbua..au siku nyingine kupiga uji dry...
Siku ya wali maharage au nyama na ugali watu wote kwenye group lako la kula hawakosekani hata mmoja...
Kubeba kiti na meza na kwenda kusomea chimbo la porini hukoo
Kujificha darini siku ya ukaguzi wa usafi
Sisi kitimoto ikichinjwa Siku kuu za Bikira Maria ambazo kwa term zinaweza kuwa Tatu au nne.Mkuu umenikumbusha, siku ya jumamosi ilikua ni siku maalum maana ijioni menyu ilikua ni kitimoto. Hakuna ambaye alikosekana kwenye foleni.
Kupika mboga za majani kwenye vyombo vya plastic. Kupigia vye..to bafuni.Mkuu umenikumbusha, siku ya jumamosi ilikua ni siku maalum maana ijioni menyu ilikua ni kitimoto. Hakuna ambaye alikosekana kwenye foleni.
Mkuu ulisoma seminary ipi1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
Hii imenikumbusha mbali. Ilikuwa tuna ruka ukuta ambao tuliupa jina la farasi. Unaenda kulowea kijijini usiku mzima.Tulikuwa tunatoroka kwenda vijiji vya jirani kwenda kunywa pombe za kienyeji, tukikutana na mwalimu tunamnunulia pombe mpaka atosheke
Mkuu hiyo ya store tulifanya sana. Ilikuwa tunamnunulia pombe mpishi halafu akilewa tunafungua store na kuchukua mikate.1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.