Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Sasa ukilinganisha midrange soundbar zote...hisense,skywood na nyinginezo hamna kama VIZIOKiufupi walio sifia vizio wote ni wauzaji au hawajawahi kusikia sauti ya SONY, kiufupi vizio hana majabu yoyote ukibisha kunya ukalale vizio m elevate, hamna maajabu, frequency 40hz ndo inanzia, hapa nataka nikairudishe hata nibebe tv niwe nangalia porn grapy kuliko kusikia mziki wa kelele usio na maana