FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Burudani burudani, furaha moyoni
Ijumaa nyumbani, na konyagi mezani
Sitoki hasilani, wifi yenu yu chumbani
Hata Fidel akibip, au Preta akipiga.

vina vimezingatiwa hapo.................!
 
Burudani burudani, furaha moyoni
Ijumaa nyumbani, na konyagi mezani
Sitoki hasilani, wifi yenu yu chumbani
Hata Fidel akibip, au Preta akipiga.

vina vimezingatiwa hapo.................!

usijali vina mradi ujumbe umefika
 
kuna watu hamnitakii mema kabisa nyie Geoff ameongea weee hamjamsema ,Fidel80 ndo kabisa mpaka amekata na rufaa,Bht ndo kashikiria sredi yote hamjasema hahaha husb wangu katulia tuli

Mzee mtu mzima MMK kagusa tu watu wasema oooh this oooh that (wanahisi mzee ana insurable interest??)
 
Gender Sensitive; mbona mchokozi wewe Mwanakijiji kakwambia ana mke?
Mie najua huyu ni babu anaangalia wajukuu zake na kutoa ushauri pale anapohitajika

Ha ha ha!Mimi sio mchokozi Mwanakijiji ni mtani wangu si unajua babu na wajukuu zake huwa wanakuwa watani?Ila mababu wa siku hizi mmh!
 
bht,Fidel,PJ,na wote mnaoniona wa ajabu mimi nimwanamke kama walivyo wanawake wengine..
Nina hisia za kike kama walivyo wanawake wote..
Sitegemie FL1 anijibu vibaya ..nimemsoma post zake zote sijaona ana argue na mtu ni mstaarabu sana katika wastaarabu sitegemei awe tofauti leo sijamtukana mie
nachomuomba anijibu tu maswali yangu ..sina nia mbaya naye kama jina lake linavyowakilisha jamii .....

Hapana unatia shaka kwani hujui kama maandishi yana sauti?????????????
 
nashukuru sana my dada FL1 umeonyesha ukomavu wa akili yako.huna papara ,huna jazba ,una hekima na busara pia,nitakupenda siku zote na kukuheshimu kama dada wewe u mstaarabu sana hasa ukizingatia jf kuna kila aina ya mambo,kama ukipenda keep in touch with me ,mimi ni mama kama wewe huna haja ya kuogopa all the best ktk maisha yako ya ndoa
 
narudia tena i love u FL1 or i like u sister sorry kama nitawakwaza maana wabongo duh ebwana eeh mnajua kupenda ni kunanihino tu hapana mjifunze
 
narudia tena i love u FL1 or i like u sister sorry kama nitawakwaza maana wabongo duh ebwana eeh mnajua kupenda ni kunanihino tu hapana mjifunze
wewe ni he or she?mbona unatuchanganya sasa,taja jinsia watu tuanze kupigana vikumbo kukutafuta
 
narudia tena i love u FL1 or i like u sister sorry kama nitawakwaza maana wabongo duh ebwana eeh mnajua kupenda ni kunanihino tu hapana mjifunze

nimezungumza na wazee unaruhusiwa kumpenda kabisa kama dadako.. any monkey business tunakutimua kijijini.. Hayo ndiyo maagizo ya wazee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom