Ni kawaida tu kaka.Kabisa yaani bila hiyo utapata kizungu zunguuu
Hata I love you hujui!!!??
Mimi Kaka Tena? Utakuwa umekosea kum quoteNi kawaida tu kaka.
I am not talking fast, maybe you are listening slow.
Naona umeamua kuhamia kwenye preemption. Vipi hapo GA? Nakuja mitaa hiyo nikishapata Moderna, tusikimbiane!How does that sound? Too far-fetched?
I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.
✌️
Something is awry here. I thought I was quoting King Kong IIIMimi Kaka Tena? Utakuwa umekosea kum quote
Usijali. Sijamaind kabisa.Something is awry here. I thought I was quoting King Kong III
Perhaps you are on my fingers minds.
Apologies dada.
Aisee bibiPlease....
Come again...!!!
Karibu. Umepata mwaliko toka Morehouse, Spelman, au Clark?Naona umeamua kuhamia kwenye preemption. Vipi hapo GA? Nakuja mitaa hiyo nikishapata Moderna, tusikimbiane!
For Swahili Audience
Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu.
Ninajishughulisha na kila kitu, kuhakikisha kuwa ninashughulikia besi nyingi iwezekanavyo. Kwa hivyo, na hayo yakisemwa, nina swali. Kuna uwezekano gani kwamba yeye 'amerekebishwa? Ikiwa ningehatarisha nadhani ningesema kwamba ameunganisha manyoya mengi ndani ya mfumo na ilikuwa tu suala la muda kabla ya kumshika .... Mimi ni sayin tu. Mimi sio sayin '. Lakini unajua ninachosema '.
Wao ndo sababu ya sisi kusema haya tunayoyasema.Hili suala linawezakuwa tunalikuuuuza ila kumbe ishu yenyewe ikawa kama alivyoeleza Makamu wa rais na ndio maana hata Waziri mkuu akasema aliongea nae,tatizo ni huu uzushi wa wa sijui Kenya mara India.
Kwenye the so called "Fixed"? Dadeki naona speculation kila angleMr. Slim wa nchi jirani anatajwa sana...
Mmeanza😶😶Mr. Slim wa nchi jirani anatajwa sana...
Ndo maana tafsiri ni ya kubumba vile.. Hahahahaha... tatizo Ngabu ametumi English ngumu sana, sasa wengine st kayumba hatujazoeaDogo katumia Google translator ambayo kila mtu angeweza kuitumia. .. ndo maana tafsiri yake inaonekana kabisa ni ya neno kwa neno... Kama watu wamechangia mada kwa kufuata ile tafsiri, sasa ndo naanza kuelewa kwanini wengi hawajamwelewa komredi Ngabu...
Natamani siku moja Mods wakutanishe hii miamba miwili kwenye malumbano ya lugha.Nyani Ngabu na Kiranga wakiandika kiingereza inabidi uwe na dikshonari pembeni.
Tatizo ni ukosefu wa taarifa.
Mpaka sasa hatujaambizwa nini tatizo.
Sasa unataka watu tufanyeje? Tukae kimya tu na tusiwaze?
Haiwezekani.
Hahahaa mpamabano utakuwa sio wa nchi hii....hatari faya.Natamani siku moja Mods wakutanishe hii miamba miwili kwenye malumbano ya lugha.
Nyani Ngabu na Kiranga mna battle yenu itabidi muifanye. Nani ni nani kwenye kunyambulika na English