‘Fixed’?

Daaaah sijaokota kitu hapa, Lugha ya Malkia
 
All Saint kayumba's just tap-off here.
As you know these things are passed away In our brain
 
Watu wa jamii forum kwa ujuaji.. kesho wakimuona watakuja tena na uchambuzi hapa vingereza kibao ilimradi ndio burudani yao kumwaga povu.
 
Du wangekuomba kuandika ile fake apology aki inchi isingezaraulika 😂😂😂
 
With due respect, conspiracy theories are strictly for the superstitious far as I am concerned.

Said one Mafia don, “....if the ship on which my son is sailing were to sink, if my son were to be hit by lightning...I would blame it on someone in this room....”

Carry this this a bit further and it will run like “If my “ you know who” were to die of of an infectious disease I would blame it on someone in or outside that country!”

As it is,the theory has no legs to stand on yet since we don’t know whether the “unnamed” is really “fixed” or not.

Someone and company seemed to have a deathwish though.
 
My guy!

Safi sana Komredi.

Wakongwe wa JF nawakubali sana.
 
Nimewaza sana jamaa wakaamua kutumia fursa ya Covid kufanya mambo yao.
Mimi tangu kile kifo cha Maalim Seif niliweka tahadhari kama hiyo. Nilisema inawezekana ''mfumo'' ukaona hii ni fursa nzuri ya kuondoa usumbufu uliokuwa unatuhangaisha kila kipindi cha uchaguzi. Unajua covid inaweza kuwa silaha mbaya sana ya kuondoa mtu kama humtaki. Kuwe na condition moja tu. Mlengwa awe kwenye risk group. Silaha hii unaweza kupita nayo kwenye security check point yoyote bila mtu kukugundua. 1. Unaweza kumtumia kijana ambaye ana afya nzuri akajiambukiza makusudi na akatumika kuipeleka popote. 2. Unaweza kuibeba kwenye kwenye leso au kitu kingine chochote unachotaka kubeba, hata kwa kutumia nguo zako kwenda kwenye target!
 
Sisemi kwamba hicho ndicho kilichotokoea, ila naweza kusema wewe na wengine wachache mmenielewa...
 
Kwahiyo unataka kusema Maalim aliipelekwa kiblah bila kujua ameingizwa kwenye conspiracy ya kuwa fixed?...
 
Dogo katumia Google translator ambayo kila mtu angeweza kuitumia. .. ndo maana tafsiri yake inaonekana kabisa ni ya neno kwa neno... Kama watu wamechangia mada kwa kufuata ile tafsiri, sasa ndo naanza kuelewa kwanini wengi hawajamwelewa komredi Ngabu...
 
Kwahiyo unataka kusema Maalim aliipelekwa kiblah bila kujua ameingizwa kwenye conspiracy ya kuwa fixed?...
Mambo mengine inabidi kutengenezea watu imani ya uwepo wa tatizo!
Huwezi pata madini pengine bila kuchoronga kwenye mkondo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…