shikamoo Google😆😆😆For Swahili Audience 😅
Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu...
...na akitoka huu ...hiiiiiiiiiiiiiiiiio,kazi tunayo!!!😃😆😃😅Mimi sitaki vingereza vyenu, ninachoweza kukwambia ndugu Nyani jamaa yupo chimbo katulia wala hana shida yoyote bila hizi maneno angekuwa kaibuka siku nyingi ila kwavile watu wamechagua kuongea basi amekaa kimya ili asikie mnaongea nini, yaani kama anavuta fegi basi saivi anamaliza mapakti tu
Nah. It can not be that way. Tanzania security is too complicated. No one can decide to catch him. They would rather let him finish up his final tenure. He is just hiding watching careful to all enemies.I’m not big on conspiracy theories.
But in the absence of veracious information, what’s one to do?....
✌️
Nimewaza sana.....jamaa wakaamua kutumia fursa ya Covid kufanya mambo yao.
Clues ndo nini tena jamani? KwA ku comment hivi si tutafika comment ya 999 bila kuambulia chochote.Haha wengine labda ikifika kwenye comment ya 201 ndo tutaanza kupata clues
Hii tafsiri ina ukweli mzee baba?Mimi ni sayin tu. Mimi sio sayin '.
Hahahaaaa....... hahahaaaa.......!Hii tafsiri ina ukweli mzee baba?
China iko penda sana yy haiwezi fanya noma yyte kwake Tek that to your auntieItakuwa wachina walioenda kumsalimia
Alimsamehe lakini jamaaa alijifia zake jelaHata Mwinyi, si alizabwa kibao baada ya kustaafu au siyo?
Sioni picha hilo likitokea wakati akiwa amezungukwa na mabunduki kama alivyo huyu wa sasa.
China iko penda sana yy haiwezi fanya noma yyte kwake Tek that to your auntie
Mnatafuta kichaka cha kumficha incase Covid imemalizana nae.Fixed na masaburi yako!
Mnhhhh!!!Wenye-nchi wamemshughulikia!
Yes ofcourseFor Swahili Audience 😅
Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu.
Ninajishughulisha na kila kitu, kuhakikisha kuwa ninashughulikia besi nyingi iwezekanavyo. Kwa hivyo, na hayo yakisemwa, nina swali. Kuna uwezekano gani kwamba yeye 'amerekebishwa? Ikiwa ningehatarisha nadhani ningesema kwamba ameunganisha manyoya mengi ndani ya mfumo na ilikuwa tu suala la muda kabla ya kumshika .... Mimi ni sayin tu. Mimi sio sayin '. Lakini unajua ninachosema '.