‘Fixed’?

Tanzania haijawahi kua tishio kiuchumi na kiusalama kwa nchi ambazo zingeweza kujaribu kufanya hivyo.

Kwangu hii nadharia naona bado ni nyepesi kwakua ingawa amekua mtata (Makinikia, Msouth n.k) ila mwisho alikaa nao chini au kufika mahakamani.

You don't fix such a person. Kim? Ningeelewa. Ayatollah? Ningeelewa.
 
Kwani ni lazima mtu awe ‘fixed’ na watu wa nje?

Umesahau kuwa kikulacho ki nguoni mwako?
 
Kwani ni lazima mtu awe ‘fixed’ na watu wa nje?

Umesahau kuwa kikulacho ki nguoni mwako?
Shambulio pekee kwa aliyewahi kua rais Tz baada ya nchi yetu kukubali demokrasia linabaki la jamaa aliyempiga kibao Mwinyi.

Nafikiri hakuna mwenye hamu ya kujaribu kumtandika Rais mwingine kibao au kuvuka stage ya kibao mpaka kwenye fixing.
 
Nimewaza sana.....jamaa wakaamua kutumia fursa ya Covid kufanya mambo yao.
Haa wapi, ule ugonjwa noma mkuu. Alafu ujifanye mbishi uanjichanganya hovyo hovyo.

Alichokifanya ni ubinafsi, kiongozi huwezi kujiachia vile kwenye gonjwa la mlipuko. Kinachoendelea sasa hivi BUS linakwenda bila dereva.

TRUMP nae walimfanyia mambo? Si alikuwa kichwa ngumu na baada kuugua akaenda kuchoma chanjo kimya kimya.
 
Well, kwa vile hatujui kinachomsibu, ngoja tuendelee kubashiri...
 
Fixed na Mabeberu au hayo Manyoya aliyoyaunga ?
 
Shambulio pekee kwa aliyewahi kua rais Tz baada ya nchi yetu kukubali demokrasia linabaki la jamaa aliyempiga kibao Mwinyi.

Nafikiri hakuna mwenye hamu ya kujaribu kumtandika Rais mwingine kibao au kuvuka stage ya kibao mpaka kwenye fixing.
Hata Mwinyi, si alizabwa kibao baada ya kustaafu au siyo?

Sioni picha hilo likitokea wakati akiwa amezungukwa na mabunduki kama alivyo huyu wa sasa.
 
Sasa huu ni uchochezii huku unajua kabisa kingereza kinawapoteza Mataga wengii, wameshapata picha DaVinci alimaanisha nini 🤣🤣
 
With folded hands, thank you so very kindly.

This is not the first time you expressing your admiration.

You are appreciated.
Mimi sitaki vingereza vyenu, ninachoweza kukwambia ndugu Nyani jamaa yupo chimbo katulia wala hana shida yoyote bila hizi maneno angekuwa kaibuka siku nyingi ila kwavile watu wamechagua kuongea basi amekaa kimya ili asikie mnaongea nini, yaani kama anavuta fegi basi saivi anamaliza mapakti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…