‘Fixed’?

‘Fixed’?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,091
Reaction score
136,619
I’m not big on conspiracy theories.

But in the absence of veracious information, what’s one to do?

Just sit idly by and wait for it to be delivered to your doorstep?

Nah! Not for a thinking man.

I enjoy ruminating on things. I raticionate on just about anything, to make sure that I cover as much bases as possible.

So, with that being said, I have a question.

How likely is it that he’s [you know who] been ‘fixed’?

If I were to hazard a guess I’d say because he has ruffled a lot feathers within the system and along the way, and with the pandemic serving as a perfect and an expedient backdrop, it was just a matter of time before they caught up to him....and did what they had to do.

How does that sound? Too far-fetched?

I’m just sayin’. I’m not sayin’. But you know what I’m sayin’.

✌️
 
For Swahili Audience 😅

Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu.

Ninajishughulisha na kila kitu, kuhakikisha kuwa ninashughulikia besi nyingi iwezekanavyo. Kwa hivyo, na hayo yakisemwa, nina swali. Kuna uwezekano gani kwamba yeye 'amerekebishwa? Ikiwa ningehatarisha nadhani ningesema kwamba ameunganisha manyoya mengi ndani ya mfumo na ilikuwa tu suala la muda kabla ya kumshika .... Mimi ni sayin tu. Mimi sio sayin '. Lakini unajua ninachosema '.
 
For Swahili Audience 😅

Mimi sio mkubwa juu ya nadharia za njama. Lakini kwa kukosekana kwa habari ya ukweli, ni nini cha kufanya? Kukaa tu bila kazi na subiri ifikishwe mlangoni pako? Nah! Sio kwa mtu anayefikiria. Ninafurahiya kuangaza juu ya vitu...

shukrani mkuu kwa kutufafanulia, sasa i know wala imseing.
 
Yaani haka ka-translation ka Google ndo kamezidi kuufanya huu uzi kuwa mgumu...

Watu wengi hawajui kuwa kiswahili ni kigumu zaidi kuliko mayai ya malkia.

Kwa muktadha huu, mimi na wasomi wenzangu wa VETA wa fani ya "welding and fabrication" tunaahidi kutoa ushirikiano mkubwa tukiwa kama wapenzi wasomaji na wagonga like...

Tuendelee kuifuatilia kwa makini hii conspiracy theory ya kibongobongo...

K Vant njoo uniongezee vocabularies kwenye medula yangu
 
Watu mkiambiwa someni hamtaki, oneni sasa mnashindwa kujua jamaa kamaanisha nini.
Smh
Elimu siku hizi ni ghali; kuna wengi, including Rais Magufuli na Kikwete, tulisoma bure tangu darasa la kwanza hadi kupat a digrii ya kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hali imebadilika sana siku hizi, kwa hiyo watu wengi kutosma ni kutokana na uwezo wa kipesa
 
Back
Top Bottom