Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Ivi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayoweka
Nina uzoefu na mfuko wa umoja,kwenye mfuko huo hakuna gawio ila faida inakuja pale vipande vinapoongezeka thamani kwa mfano tu toka tarehe 05/08/
Ivi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayoweka
Nina uzoefu na mfuko wa umoja,kwenye mfuko huo hakuna gawio ila faida inakuja pale vipande vinapoongezeka thamani i.et oka tarehe 05/08/17 mpaka jana kuna ongezeko la karibu sh 11 kwa kila kipande ndani ya wiki tatu kitu ambacho sijawahi kuona kwenye hisa za kawaida mfano nilinunua hisa za CRDB miaka michache iliyopita karibu miezi Sita hakukuwa na ongezeko hata la shilingi na nikaishia kuuza kwa bei ya chini zaidi so kwa kifupi kama huna muda sana wa kufanya biashara vipande ni option nzuri
 
Ni kweli kabisa .Why charges on ATMS?

Like NMB which they call it Banki ya Walalahoi, lakini uki-draw tu ATM inakula 5,000/=.Kama una kau-ten kako(10,000/-) ukienda kwenye ATM utaondoka na 5,000/=. Shame on them Bankers!! They are core robbers and thieves!!!
 
Unacho sema ni sahihi, na ndo maana mimi binafsi siweki zaidi ya miezi mitatu, na fixed account mimi huwa naitumia hasa nikiwa na lengo langu la baada miezi kadhaa isiyo zidi miezi mitatu.....kuliko kuweka pesa yote kwenye saving account ambayo inakushawishi kila wakati kwenda kwenye ATM kutoa, kiasi kidogo cha mahitaji ya kila siku unaweka kwenye saving account, na kingine kwenye fixed account, inasaidia kimalengo hasa,kwa hiyo miezi mitatu ni vyema unaweka hela ndefu...inaweza ukawa ba hela mkononi hela ndefu usipo kuwa makini itaisha yote pasipo baki akiba, ila fixed account ni suluhu kwa hilo jomba..
 
Hilo Wazo zuri sana mkuu ambalo umesema, nimelidaka
 
Heshima kwenu waku

Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
 
Mie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mwezi
Ni kiasi gani cha gawio unapata kwa million 1 ili nifungue?
 
Ukimpata nipe mrejesho na Mimi
Kuna jamaa mmoja nimeongea naye,anasema mara ya kwanza aliweka laki moja baada ya miezi mitatu akaongezewa sh 20000. Ukipiga hesabu hapo utaona rate ni 20% ya ulishowekeza. Kwa mwaka unapokea faida mara nne (kila baada ya miezi mitatu). Nitaenda kufatilia bank kwa uhakika zaid wa maelezo
 
Fuatilia kama wapo hivi ni fulsa nzuri sana
 
Back
Top Bottom