Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,517
- 7,122
Ivi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayowekaAcha kuzika hela yako bora hata ununue vipande vya UTT baada ya mwaka hautajutia hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayowekaAcha kuzika hela yako bora hata ununue vipande vya UTT baada ya mwaka hautajutia hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uzoefu na mfuko wa umoja,kwenye mfuko huo hakuna gawio ila faida inakuja pale vipande vinapoongezeka thamani kwa mfano tu toka tarehe 05/08/Ivi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayoweka
Nina uzoefu na mfuko wa umoja,kwenye mfuko huo hakuna gawio ila faida inakuja pale vipande vinapoongezeka thamani i.et oka tarehe 05/08/17 mpaka jana kuna ongezeko la karibu sh 11 kwa kila kipande ndani ya wiki tatu kitu ambacho sijawahi kuona kwenye hisa za kawaida mfano nilinunua hisa za CRDB miaka michache iliyopita karibu miezi Sita hakukuwa na ongezeko hata la shilingi na nikaishia kuuza kwa bei ya chini zaidi so kwa kifupi kama huna muda sana wa kufanya biashara vipande ni option nzuriIvi UTT wanatoa asilimia ngapi? Kwa pesa unayoweka
Sio wote wana muda kuweza kufanya biashara kuliko hela kukaa tu bora kuweka mahali ambapo hata shilingi itaoongezeka,tujifunze kuweka akibaNadhani ni ujuha wa kiwango cha juu kwa mwenye hela less than 100 milioni kusema unaweka fixed, vinginevo nitakuambia wewe ni mvivu wa kufikiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa .Why charges on ATMS?
Unacho sema ni sahihi, na ndo maana mimi binafsi siweki zaidi ya miezi mitatu, na fixed account mimi huwa naitumia hasa nikiwa na lengo langu la baada miezi kadhaa isiyo zidi miezi mitatu.....kuliko kuweka pesa yote kwenye saving account ambayo inakushawishi kila wakati kwenda kwenye ATM kutoa, kiasi kidogo cha mahitaji ya kila siku unaweka kwenye saving account, na kingine kwenye fixed account, inasaidia kimalengo hasa,kwa hiyo miezi mitatu ni vyema unaweka hela ndefu...inaweza ukawa ba hela mkononi hela ndefu usipo kuwa makini itaisha yote pasipo baki akiba, ila fixed account ni suluhu kwa hilo jomba..

Hilo Wazo zuri sana mkuu ambalo umesema, nimelidakaUnacho sema ni sahihi, na ndo maana mimi binafsi siweki zaidi ya miezi mitatu, na fixed account mimi huwa naitumia hasa nikiwa na lengo langu la baada miezi kadhaa isiyo zidi miezi mitatu.....kuliko kuweka pesa yote kwenye saving account ambayo inakushawishi kila wakati kwenda kwenye ATM kutoa, kiasi kidogo cha mahitaji ya kila siku unaweka kwenye saving account, na kingine kwenye fixed account, inasaidia kimalengo hasa,kwa hiyo miezi mitatu ni vyema unaweka hela ndefu...inaweza ukawa ba hela mkononi hela ndefu usipo kuwa makini itaisha yote pasipo baki akiba, ila fixed account ni suluhu kwa hilo jomba..
Amana Benki MkuuHeshima kwenu waku
Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
Kwa mwezi1 watapata faida yoyote?Amana Benki Mkuu
Kwa mwezi1 watapata faida yoyote?Amana Benki Mkuu
HakunaHeshima kwenu waku
Hivi kuna benki ambayo inaruhusu fixed deposit ya mwezi mmoja ukapata interest?
Mie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mweziKwa mwezi1 watapata faida yoyote?
Rate yake ni % ngap kamanda?Mie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mwezi
Ni kiasi gani cha gawio unapata kwa million 1 ili nifungue?Mie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mwezi
Tusaidie tufahamu ni % ya gawio kwa mwezi?Mie wananiwekea kila mwezi mkuu, Kiwango cha chini kuwepo kwenye account ili upate gawio ni Laki moja. lakini ikae kwenye account yako kwa mwezi
Jamaa nimem-pm kumuulizia rate naona hayupo onlineTusaidie tufahamu ni % ya gawio kwa mwezi?
Ukimpata nipe mrejesho na MimiJamaa nimem-pm kumuulizia rate naona hayupo online
Kuna jamaa mmoja nimeongea naye,anasema mara ya kwanza aliweka laki moja baada ya miezi mitatu akaongezewa sh 20000. Ukipiga hesabu hapo utaona rate ni 20% ya ulishowekeza. Kwa mwaka unapokea faida mara nne (kila baada ya miezi mitatu). Nitaenda kufatilia bank kwa uhakika zaid wa maelezoUkimpata nipe mrejesho na Mimi
Fuatilia kama wapo hivi ni fulsa nzuri sanaKuna jamaa mmoja nimeongea naye,anasema mara ya kwanza aliweka laki moja baada ya miezi mitatu akaongezewa sh 20000. Ukipiga hesabu hapo utaona rate ni 20% ya ulishowekeza. Kwa mwaka unapokea faida mara nne (kila baada ya miezi mitatu). Nitaenda kufatilia bank kwa uhakika zaid wa maelezo